Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

Nikupe hint tu, Kwanza jifunze elimu ya Nafsi (Soul) ukishakua na elimu ya hii kitu hata kama sio kwa upana basi utapata jibu lako kuhusu Deja Vu.
Nafsi inaweza kusafiri!
Ikafika eneo au sehemu kabla ya mwili kufika.

Siku mwili ukifika sehemu hiyo au katika tukuo Hilo! Nafsi inakuwa inaufahamu tayari hai surprised.
 
De ja Vu is Really

" You are there before you are "

Haya falsafa ya kale inakuambia ulishaishi duniani kabla ya kuishi...kuna kitabu ntakuelekeza ukisome, chenye picha kinatishà lakini
Tunaomba hiko kitabu kaka....
 
Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"

katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.

Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu

Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.

Sasa nakumbuka kipindi naishi Bukoba , nilikuwa Nikienda eneo jipya hasa vijijini nilikuwa napata upya nashangaa , watu ,mazingira na kila kitu.

Ila nilipofika DSM pamoja kwamba it was my first time ila sikuwahi kupata ule mshangao wa mazingira watu n.k

Yaani ni Kama DSM niliwahi kuishi kila eneo nikienda sikuwahi kushangaa chochote iwe watu mazingira hadi Maisha

Yaani huwa nahisi Kama nilizaliwa Dar nakukaa miaka mingi Ila sio kweli.

Sehemu niliokaa over 20 years plus naishangaa Ila sehemu niliokaa muda mfupi sipati mshangao iwe mazingira na kila kitu.

So nilichoelewa hapo ni kuwa 'Dejavu' it is work out in Dream city Dar es Salaam and not in home land Bukoba.

Mfano nimekaa Temeke over five years karibu na uwanja wa mkapa Ila sikuwahi kuingia hata siku moja kuangalia mpira Ila nilipokuwa Bukoba hakuna siku nimekosa kwenda Kaitaba stadiums kuangalia yanga au simba zilipokuwa zinacheza , maana yake ninapokuwa dsm nakuwa more focused with life Ila ninapokuwa BBukoba kila kitu kwangu kinakuwa kigeni kila siku.

Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi

Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
Ntarudi
 
Huwa kuna hali flani ya hewa nzuri ikitokea na mawingu flani hivi yakijipanga angani,kuna nafsi huwa inaniambia kuwa kuna mahali nimewahi kukutana na hali nzuri ya hewa na mandhari mazuri kama haya but sikumbuki ni wapi.
 
Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"

katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.

Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu

Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.

Sasa nakumbuka kipindi naishi Bukoba , nilikuwa Nikienda eneo jipya hasa vijijini nilikuwa napata upya nashangaa , watu ,mazingira na kila kitu.

Ila nilipofika DSM pamoja kwamba it was my first time ila sikuwahi kupata ule mshangao wa mazingira watu n.k

Yaani ni Kama DSM niliwahi kuishi kila eneo nikienda sikuwahi kushangaa chochote iwe watu mazingira hadi Maisha

Yaani huwa nahisi Kama nilizaliwa Dar nakukaa miaka mingi Ila sio kweli.

Sehemu niliokaa over 20 years plus naishangaa Ila sehemu niliokaa muda mfupi sipati mshangao iwe mazingira na kila kitu.

So nilichoelewa hapo ni kuwa 'Dejavu' it is work out in Dream city Dar es Salaam and not in home land Bukoba.

Mfano nimekaa Temeke over five years karibu na uwanja wa mkapa Ila sikuwahi kuingia hata siku moja kuangalia mpira Ila nilipokuwa Bukoba hakuna siku nimekosa kwenda Kaitaba stadiums kuangalia yanga au simba zilipokuwa zinacheza , maana yake ninapokuwa dsm nakuwa more focused with life Ila ninapokuwa BBukoba kila kitu kwangu kinakuwa kigeni kila siku.

Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi

Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
Imenitokea sana
 
Back
Top Bottom