Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"

Katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.

Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu

Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.

Nitaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi

Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
 

Attachments

  • Screenshot_20250204-062706.png
    Screenshot_20250204-062706.png
    388.9 KB · Views: 1
Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"


katika kusoma nimekutama na neno linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.

Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu

Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.

Sasa nakumbuka kipindi naishi Bukoba , nilikuwa Nikienda eneo jipya hasa vijijini nilikuwa napata upya nashangaa , watu ,mazingira na kila kitu.


Ila nilipofika DSM pamoja kwamba it was my first time ila sikuwahi kupata ule mshangao wa mazingira watu n.k


Yaani ni Kama DSM niliwahi kuishi kila eneo nikienda sikuwahi kushangaa chochote iwe watu mazingira hadi Maisha

Yaani huwa nahisi Kama nilizaliwa dar nakukaa miaka mingi Ila sio kweli.


Sehemu niliokaa over 20 years plus naishangaa Ila sehemu niliokaa muda mfupi sipati mshangao iwe mazingira na kila kitu.


So nilichoelewa hapo ni kuwa 'Dejavu' it is work out in Dream city Dar es Salaam and not in home land Bukoba.

mfano nimekaa Temeke over five years karibu na uwanja wa mkapa Ila sikuwahi kuingia hata siku moja kuangalia mpira Ila nilipokuwa Bukoba hakuna siku nimekosa kwenda kaitaba stadiums kuangalia yanga au simba zilipokuwa zinacheza , maana yake ninapokuwa dsm nakuwa mre focused with life Ila ninapokuwa BBukoba kila kitu kwangu kinakuwa kigeni kila siku.



Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi

Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
Huenda uliishi huko zamani kabla hujafa na kuzaliwa upya...🙄🙄🙄
 
Wanadai déjà vu inahusiana na kumbukumbu zilizofichwa ambazo hatuzijui. Inawezekana kwamba ubongo unakumbuka habari fulani ambayo hatuijui, na hii inasababisha hisia ya kuwa umeshapitia hali hiyo hapo awali.
 
Ni ile hali ya kuhisi umewahi kulifanya jambo fulani wakati ukiwa unalifanya.

Na unalihisi vile vile kama lilivyo, kama ndoto.

Mimi naona ni aina flani tu ya cognitive bias kwa kuwa sipendi kuamini kwenye mambo ya dini dini na visawe vyake.
 
Nikupe hint tu, Kwanza jifunze elimu ya Nafsi (Soul) ukishakua na elimu ya hii kitu hata kama sio kwa upana basi utapata jibu lako kuhusu Deja Vu.
Nimesoma Sana kuhusu soul Ila Mimi huwa napenda kusoma na kufatilia in real life .

Nimesoma kuanzia Soul yenyewe hadi types zake Kama old soul na young soul.


Mfano unaweza kuwa na watoto wawili mmoja Ana miaka 18 na mwingine Ana miaka 10 Ila yule wa miaka 10 ndo akawa namuongoza wa miaka 8 kufanya maamuzi ya busara na kumuelewesha kuhusu maisha


So mtu akiwa ni old soul anaweza kuwa na umri mdogo Ila akawa na ukomavu mkubwa Sana wa Akili wa kufanya maamuzi yenye hekima na kuelewa mambo .
 
Hutokea unakuwa umeangalia movie na kusoma vitabu vinavyohusisha maeneo hayo..na kukuvutia hisia kubwa unakuwa sio mgeni kabisa...mfano MTU aliyeishi mini Kama tanga akienda Mombasa anaiona ya kawaida na Kama alishawahi kufika NI ku adapt kidogo to unasonga mbele... Hivyo hivyo kwa manispaa Kama Moshi Arusha sumbawanga mbeya iringa ilivyopangwa mjii haikusumbui kuadapt au kuhisi ushawahi kudhiru hayo maeneo...
 
Bado rudi usome tena about soul kaka, labda niseme your soul. Hebu jaribu kufatilia soul yako kaka utagundua kuna kitu.😅😅
 
Bado rudi usome tena about soul kaka, labda niseme your soul. Hebu jaribu kufatilia soul yako kaka utagundua kuna kitu.😅😅
🙌🏽

OK Ila upande huo nilisoma kiasi

Kuna kipindi nilikuwa nafatilia kitu kuhusu maturity ukomavu.


Nikaona kuwa kuna old soul ni zile zilikuepo na zimerudi tena na young soul ni soul mpya that is way kuna watu age imeenda Sana Ila bado they act like kids in thinking and make decisions kuhusu Maisha kiujumla.



So nitasubiri darasa lako kuhusu uhusiano wa Dejavu and soul
 
Back
Top Bottom