Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja tukatoka out na ndugu zangu wawili tunaolingana umri, kila mtu alikuja na mpenzi wake na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kuwahi kufanya hivyo ili tufahamiane.

Tukafurahia sana mpaka pale ulipofika muda wa kutambulishana, furaha yangu yote ya siku ile ikazimwa baada ya kumtambulisha Ke wangu, aliongea akasema sifiti kwenye maisha yake alisimama na akashukuru kwa muda wetu na kuanza kuondoka, kila mtu miongoni mwetu alishangaa. Nilihisi naota nikanyanyuka kumfuata nje niongee nae lakini hakunipa nafasi hiyo, nikabaki nmesimama kama nimegandishwa mpaka alipokuja ndugu yangu kunichua.

Tulipofika tulipokua tumekaa hakuna nilichoweka mdomoni kikalika, niliona kiti nilichokalia kama kina miiba nikasimama napo nikaishia kuona kama sina hiyo nguvu ya kusimama. Pole na ushauri wa ndugu zangu niliona kama kelele tu hakuna waliloniambia nikapata unafuu, nilijiskia vibaya mno nikaona nimpigie simu akawa tayari ameshaniblock. Ile wiki nilikonda nikanyooka nikiwaza kwanini anifanyie vile kinyume na matarajio yangu? Tena hadharani alishindwa nini kunieleza hayo kabla/baada ya hapo?

Baada ya miezi 10 kupita alinitafuta na kuomba msamaha kwa alichonifanyia anaomba turudiane vinginevyo atajidhuru, bora afe kama sitoweza kurudiana nae haoni umuhimu wa kuishi bila ya mimi. Nilimwambia uliweza kuishi kabla ya kukutana nami na ukaweza ndani ya miezi 10 iweje sasa ushindwe? Safari njema huko uendako, Akataka kuongea nikamwambia sihitaji ujibu chochote alafu nikakata simu nikablock.

Aliwasumbua sana ndugu zangu sijui alipata wapi namba ya mama nikapigiwa simu nijaribu kuyamaliza na huyo binti nikakataa, kuna siku akafunga safari mpaka kwetu(mkoani) baada ya kuambiwa nimeenda nyumbani lakini msimamo wangu ukawa ni ule ule akaishia kuaibika na kudharaulika mpaka mama akaniambia mwanamke wa hivi hafai kabisa. Aliangaika kunigombanisha na niliokuwa nao kwenye mahusiano lakini hakufanikiwa mwishowe alitulia.

Leo kuna ndugu yangu kanitafuta ananiambia nasalimiwa sana na yule fulani, anasema amenitafuta kwa muda mrefu sana kwenye namba yangu anapokea mtu mwingine tofauti( namba ya mwanzoni niliipoteza post yake ipo humu), nmeishia tu kucheka na kukumbuka kilichowahi kunitokea kwenye mahusiano.

Ee bhana eeh! kupigwa na kitu kizito hadharani inaumiza sana hasa kwa yule unaempenda.
1690154468615.png
 
View attachment 2697404

1.Expectation kills......It kills[emoji736] not they kill[emoji777]
2.It kills us once we wait[emoji736] not once when we wait- matumizi ya “ When” yaendane na uhai wa sentensi Tafadhali

JESUS CHRIST!!!!!
Tena umerudia ....”They kill us”

Hata kama ni lugha ya upili lakini yapaswa kuitendea haki,Au ni vema kunyooka na kiswahili chetu mwanzo mwisho mbona ni kizuri tu.

Na hapo nimesoma fani ya mining sijui kama ningekuwa mwalimu wa English kama ngekuacha bila kukucharaza njukuti
 
Haujamwelewa mleta mada read between the lines km wanavyofanya wanasheria....

Kule juu kaongelea = people

Umewahi kukataliwa %na mtu au watu% hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Expectation kills , (people kill), they kill us once when we wait for the same things we did for people. (People kill). They kill us twice when we don't really get anything.

Kwa hio center of action ni people

I'm the best English teacher without any certificates.

Haya nenda katandike mkanda sasa upasue miamba M-BANTU
 
Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja tukatoka out na ndugu zangu wawili tunaolingana umri, kila mtu alikuja na mpenzi wake na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kuwahi kufanya hivyo ili tufahamiane.

Tukafurahia sana mpaka pale ulipofika muda wa kutambulishana, furaha yangu yote ya siku ile ikazimwa baada ya kumtambulisha Ke wangu, aliongea akasema sifiti kwenye maisha yake alisimama na akashukuru kwa muda wetu na kuanza kuondoka, kila mtu miongoni mwetu alishangaa. Nilihisi naota nikanyanyuka kumfuata nje niongee nae lakini hakunipa nafasi hiyo, nikabaki nmesimama kama nimegandishwa mpaka alipokuja ndugu yangu kunichua.

Tulipofika tulipokua tumekaa hakuna nilichoweka mdomoni kikalika, niliona kiti nilichokalia kama kina miiba nikasimama napo nikaishia kuona kama sina hiyo nguvu ya kusimama. Pole na ushauri wa ndugu zangu niliona kama kelele tu hakuna waliloniambia nikapata unafuu, nilijiskia vibaya mno nikaona nimpigie simu akawa tayari ameshaniblock. Ile wiki nilikonda nikanyooka nikiwaza kwanini anifanyie vile kinyume na matarajio yangu? Tena hadharani alishindwa nini kunieleza hayo kabla/baada ya hapo?

Baada ya miezi 10 kupita alinitafuta na kuomba msamaha kwa alichonifanyia anaomba turudiane vinginevyo atajidhuru, bora afe kama sitoweza kurudiana nae haoni umuhimu wa kuishi bila ya mimi. Nilimwambia uliweza kuishi kabla ya kukutana nami na ukaweza ndani ya miezi 10 iweje sasa ushindwe? Safari njema huko uendako, Akataka kuongea nikamwambia sihitaji ujibu chochote alafu nikakata simu nikablock.

Aliwasumbua sana ndugu zangu sijui alipata wapi namba ya mama nikapigiwa simu nijaribu kuyamaliza na huyo binti nikakataa, kuna siku akafunga safari mpaka kwetu(mkoani) baada ya kuambiwa nimeenda nyumbani lakini msimamo wangu ukawa ni ule ule akaishia kuaibika na kudharaulika mpaka mama akaniambia mwanamke wa hivi hafai kabisa. Aliangaika kunigombanisha na niliokuwa nao kwenye mahusiano lakini hakufanikiwa mwishowe alitulia.

Leo kuna ndugu yangu kanitafuta ananiambia nasalimiwa sana na yule fulani, anasema amenitafuta kwa muda mrefu sana kwenye namba yangu anapokea mtu mwingine tofauti( namba ya mwanzoni niliipoteza post yake ipo humu), nmeishia tu kucheka na kukumbuka kilichowahi kunitokea kwenye mahusiano.

Ee bhana eeh! kupigwa na kitu kizito hadharani inaumiza sana hasa kwa yule unaempenda.
View attachment 2697404
Pole sana mkuu,ila saivi ushapata wa kutulia naye,ish hapo hapo
 
Kuna demu wakati na mtongoza siku ya tano mfululizo nikiwa na rafiki yangu

aliniambia "namchukulia simple sana pita hivi"

Mimi simple Nikamjibu Asante.

Nikapiga kimnya

Cha kushangaza hadi leo hii anamsumbua sana rafiki yangu anikutanishe nae, Mimi simple nikamjibu rafiki yangu ukitaka urafiki wetu ufe tega mtego nikutane nae.
 
1.Expectation kills......It kills[emoji736] not they kill[emoji777]
2.It kills us once we wait[emoji736] not once when we wait- matumizi ya “ When” yaendane na uhai wa sentensi Tafadhali

JESUS CHRIST!!!!!
Tena umerudia ....”They kill us”

Hata kama ni lugha ya upili lakini yapaswa kuitendea haki,Au ni vema kunyooka na kiswahili chetu mwanzo mwisho mbona ni kizuri tu.

Na hapo nimesoma fani ya mining sijui kama ningekuwa mwalimu wa English kama ngekuacha bila kukucharaza njukuti
Hivi Kwa Nini hampendi kujiweka wazi kama nyie ni walimu?mbona ni kazi nzuri tu?wewe si Kuna Uzi nimekuona umesema umechoka kuwa mwalimu ?Kwa vyovyote wewe utakuwa mwalimu,Kwa Nini Sasa hapa unaongea eti "ungekuwa"mwalimu ! Nyinyi wenyewe ndio mnaifanya fani yenu idharaulike.....
By the way,ulivyosoma Uzi pamoja na makosa ya kisarufi ulielewa lengo ama hukuelewa?
 
Wanamuogopa mpwayungu
 
Back
Top Bottom