Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #21
msimamo kwenye haya maisha ni muhimu ukitetereka tu kuna mambo utaharibu.Wazungu husema...achekaye wa mwisho hucheka sana.
Inaumiza sana
Msimamo wako ni wa kiume nimeupenda.
mimi ukishanitisha tu kujidhuru ndio ushanikosa, siwezi kuwa na mtu mwenye pepo la kukata tamaa kiasi hicho. Pia ni mwiko kumpenda mtu kwa kumuonea huruma.Ni ajabu Sana wanavyoacha kikatili lakini wanategemea kupokelewa kirahisi Kwa vitishio vya sijui ntajiua
shukrani mkuu lugha yenyewe imekuja na meli tunakomaa nayo hivyo hivyo.1.Expectation kills......It kills[emoji736] not they kill[emoji777]
2.It kills us once we wait[emoji736] not once when we wait- matumizi ya “ When” yaendane na uhai wa sentensi Tafadhali
JESUS CHRIST!!!!!
Tena umerudia ....”They kill us”
Hata kama ni lugha ya upili lakini yapaswa kuitendea haki,Au ni vema kunyooka na kiswahili chetu mwanzo mwisho mbona ni kizuri tu.
Na hapo nimesoma fani ya mining sijui kama ningekuwa mwalimu wa English kama ngekuacha bila kukucharaza njukuti
ansante mkuu maisha yanaendelea vyema kabisa.Pole sana mkuu,ila saivi ushapata wa kutulia naye,ish hapo hapo