Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uachwee😂😂, we mtu una bichwa Kama mtungi wa gesi😂😂Yes, valentine day
Dah delivery ndo nini😜🤔Nifanyie delivery ya msosi, joto la Dar linachosha kutembea mpaka kwa Wakala😎.
Umeanza eh hayaLazima uachwee😂😂, we mtu una bichwa Kama mtungi wa gesi😂😂
Mimi na wewe ni mabest😜Umeanza eh haya
Sitaki, nimesusa.Dah delivery ndo nini😜🤔
Tuma na ya kutolea 😜😜Pm zangu 50 huzioni🙄😁😪
That's the courage we all need 🤠Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja tukatoka out na ndugu zangu wawili tunaolingana umri, kila mtu alikuja na mpenzi wake na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kuwahi kufanya hivyo ili tufahamiane.
Tukafurahia sana mpaka pale ulipofika muda wa kutambulishana, furaha yangu yote ya siku ile ikazimwa baada ya kumtambulisha Ke wangu, aliongea akasema sifiti kwenye maisha yake alisimama na akashukuru kwa muda wetu na kuanza kuondoka, kila mtu miongoni mwetu alishangaa. Nilihisi naota nikanyanyuka kumfuata nje niongee nae lakini hakunipa nafasi hiyo, nikabaki nmesimama kama nimegandishwa mpaka alipokuja ndugu yangu kunichua.
Tulipofika tulipokua tumekaa hakuna nilichoweka mdomoni kikalika, niliona kiti nilichokalia kama kina miiba nikasimama napo nikaishia kuona kama sina hiyo nguvu ya kusimama. Pole na ushauri wa ndugu zangu niliona kama kelele tu hakuna waliloniambia nikapata unafuu, nilijiskia vibaya mno nikaona nimpigie simu akawa tayari ameshaniblock. Ile wiki nilikonda nikanyooka nikiwaza kwanini anifanyie vile kinyume na matarajio yangu? Tena hadharani alishindwa nini kunieleza hayo kabla/baada ya hapo?
Baada ya miezi 10 kupita alinitafuta na kuomba msamaha kwa alichonifanyia anaomba turudiane vinginevyo atajidhuru, bora afe kama sitoweza kurudiana nae haoni umuhimu wa kuishi bila ya mimi. Nilimwambia uliweza kuishi kabla ya kukutana nami na ukaweza ndani ya miezi 10 iweje sasa ushindwe? Safari njema huko uendako, Akataka kuongea nikamwambia sihitaji ujibu chochote alafu nikakata simu nikablock.
Aliwasumbua sana ndugu zangu sijui alipata wapi namba ya mama nikapigiwa simu nijaribu kuyamaliza na huyo binti nikakataa, kuna siku akafunga safari mpaka kwetu(mkoani) baada ya kuambiwa nimeenda nyumbani lakini msimamo wangu ukawa ni ule ule akaishia kuaibika na kudharaulika mpaka mama akaniambia mwanamke wa hivi hafai kabisa. Aliangaika kunigombanisha na niliokuwa nao kwenye mahusiano lakini hakufanikiwa mwishowe alitulia.
Leo kuna ndugu yangu kanitafuta ananiambia nasalimiwa sana na yule fulani, anasema amenitafuta kwa muda mrefu sana kwenye namba yangu anapokea mtu mwingine tofauti( namba ya mwanzoni niliipoteza post yake ipo humu), nmeishia tu kucheka na kukumbuka kilichowahi kunitokea kwenye mahusiano.
Ee bhana eeh! kupigwa na kitu kizito hadharani inaumiza sana hasa kwa yule unaempenda.
View attachment 2697404
Yelewiiii😂😂😂🤣, jobless uta niua😂Tuma na ya kutolea 😜😜
So sorry 😪,you know I care about you, right? Ms eyesSitaki, nimesusa.
🤣🤣🤣Basi achana na habari za PM zitakupasua kichwaYelewiiii😂😂😂🤣, jobless uta niua😂
Dah majobless hatuna haki ya kupendwa😪😪🤣🤣🤣Basi achana na habari za PM zitakupasua kichwa
Pambaneni kwanza.Dah majobless hatuna haki ya kupendwa😪😪
Tupambane halafu tuje tuwa tumie ya kutolea🤔, wacha niende Kama maganda ya nanasi😂🤣🙄Pambaneni kwanza
Dohlgo ume Rudi🙄😁😁Wewe lizee unayewala mademu wenye shidashida njoo hapa uone vijana unavyowataabisha.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtu akinikataa hilo ni tatizo lakeExpectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja tukatoka out na ndugu zangu wawili tunaolingana umri, kila mtu alikuja na mpenzi wake na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kuwahi kufanya hivyo ili tufahamiane.
Tukafurahia sana mpaka pale ulipofika muda wa kutambulishana, furaha yangu yote ya siku ile ikazimwa baada ya kumtambulisha Ke wangu, aliongea akasema sifiti kwenye maisha yake alisimama na akashukuru kwa muda wetu na kuanza kuondoka, kila mtu miongoni mwetu alishangaa. Nilihisi naota nikanyanyuka kumfuata nje niongee nae lakini hakunipa nafasi hiyo, nikabaki nmesimama kama nimegandishwa mpaka alipokuja ndugu yangu kunichua.
Tulipofika tulipokua tumekaa hakuna nilichoweka mdomoni kikalika, niliona kiti nilichokalia kama kina miiba nikasimama napo nikaishia kuona kama sina hiyo nguvu ya kusimama. Pole na ushauri wa ndugu zangu niliona kama kelele tu hakuna waliloniambia nikapata unafuu, nilijiskia vibaya mno nikaona nimpigie simu akawa tayari ameshaniblock. Ile wiki nilikonda nikanyooka nikiwaza kwanini anifanyie vile kinyume na matarajio yangu? Tena hadharani alishindwa nini kunieleza hayo kabla/baada ya hapo?
Baada ya miezi 10 kupita alinitafuta na kuomba msamaha kwa alichonifanyia anaomba turudiane vinginevyo atajidhuru, bora afe kama sitoweza kurudiana nae haoni umuhimu wa kuishi bila ya mimi. Nilimwambia uliweza kuishi kabla ya kukutana nami na ukaweza ndani ya miezi 10 iweje sasa ushindwe? Safari njema huko uendako, Akataka kuongea nikamwambia sihitaji ujibu chochote alafu nikakata simu nikablock.
Aliwasumbua sana ndugu zangu sijui alipata wapi namba ya mama nikapigiwa simu nijaribu kuyamaliza na huyo binti nikakataa, kuna siku akafunga safari mpaka kwetu(mkoani) baada ya kuambiwa nimeenda nyumbani lakini msimamo wangu ukawa ni ule ule akaishia kuaibika na kudharaulika mpaka mama akaniambia mwanamke wa hivi hafai kabisa. Aliangaika kunigombanisha na niliokuwa nao kwenye mahusiano lakini hakufanikiwa mwishowe alitulia.
Leo kuna ndugu yangu kanitafuta ananiambia nasalimiwa sana na yule fulani, anasema amenitafuta kwa muda mrefu sana kwenye namba yangu anapokea mtu mwingine tofauti( namba ya mwanzoni niliipoteza post yake ipo humu), nmeishia tu kucheka na kukumbuka kilichowahi kunitokea kwenye mahusiano.
Ee bhana eeh! kupigwa na kitu kizito hadharani inaumiza sana hasa kwa yule unaempenda.
View attachment 2697404
Acha wakome,wakati siye tunapura mademu Kwa nguvu na kuwala kwa kuforce,eti wengine wanaipigia magori,*****Bongo muvi na sizoni za kikorea zinawafanya mkutane na fedhea kubwa kubwa.