Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Mtu akinikataa hilo ni tatizo lake

Shida ya wabongo tunapenda show off,sasa kama huyo kwenye picha alishindwa nini kumvisha huyo demu faraghani wakiwa wawili,Ili hata kama demu atakataa inabaki aibu ya wawili!

Action equals reaction,ulitegemea kuuza mbele ya demu Ili upate ujiko mbele ya masela na mademu,demu naye kutaka sifa mbele ya shoga zake kuwa ni wa thamani akaamua kupindua meza

Usimpe mtu nguvu ya kuamua thamani Yako ndani ya jamii
bro madini juu ya madini👊🏾

hakuna kuremba
 
mbona ilikua simpo tu sikuwa na nia hiyo ya kuuza
 
ilikuwaje?
Nilienda kupeleka zawadi kwake nikamkuta mtu mwingine zawadi hiyo nikaona nikainywe tu bar tulikunywa na rafiki yake bar baadae ndio akadai ukihitaji upelekwe home sema tu nani akatae ,namdoli nimweke kwenye chumba changu ilikuwa fresh tu walinisindikiza hadi home na mtu mpya wake ila nilimlipiza kwa kiasi ambacho hadi naleo akiniona anacheka tu .

Nilimzidi kete ila alikoma
 
Nilienda kupeleka zawadi kwake nikamkuta mtu mwingine zawadi hiyo nikaona nikainywe tu bar namdoli nimweke kwenye chumba changu ilikuwa fresh tu walinisindikiza hadi home na mtu mpya wake ila nilimlipiza kwa kiasi ambacho hadi naleo akiniona anacheka tu .

Nilimzidi kete ila alikoma
pole sana ila wewe ndio uliumia zaidi mpaka ukaamua kulipiza
 
pole sana ila wewe ndio uliumia zaidi mpaka ukaamua kulipiza
Wala aliponisindikiza home rafiki yake alikuwepo nikaona sio mbaya akilala kwetu kwanza bro yupo chuo tukanyemelea chumba changu nikampa vizuri hadi raha nililalaje kwa raha maana nilisex valentine day na mwanaume mwenye lipsi pana kajazia vyema , ananukia na anajua shughuli hajaoa hatukufanya kwa malipizo tulipendana asubuhi kufika nikaenda kupika chai ya wote akanywa wazazi kwenda akaoga , tukarudia hadi mchana . Yule kaka akapiga simu bro uko wapi akasema kwa kina unique unafanya nini tunakulana wewe si ulisema humtaki mie namtaka period . Yeye akadai huyo manzi ndio anamlipia kodi basi ikaishia hapo. Maisha yakaendelea nilikosa 1 nikapata wakutulia naye ila alilia aisee kuchukuliwa kababe kazuri kanakokata kata mauno
 
Wanawake hawajuagi kua ni kitu kibaya kumkataa mtu kwa kumdhalilisha.

Siku mwenza wako akiona hivyo nae atakaa kwa tahadhari akiamini kua huyu kiumbe anytime anaweza kunidhalilisha.
 
Back
Top Bottom