Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Wakati wa ujana wangu nikifinya ama kuingia katika mahusiano, mwanamke ndiye atakuwa kwanza ku-expose mahusiano yetu na si mimi!.
Nitamkula kimya kimya then utasikia marafiki zangu ama family yangu " kumbe wewe una date na fulani!"
Na mimi nitaonyesha kukataa then watafunguka"katuambia yeye mwenyewe".
Sasa nyie vijana wa siku hizi mnakimbia mbele hadi mnaacha mpira nyuma.
Ikiwa mlikubaliana, why kwake likawa jambo zito na wewe ukaingia kichwa kichwa?.
Next time utaumbuka zaidi!
there is no next time siwezi kuyafanya hayo tena.
 
Mkuu sisi wanaume uongo mwingi sana aisee hasa kama hujapata tunda.

Sababu inakua jamaa anakua keshamchoka manzi, hawezi kufake ten zile out za mara kawa mara, mawasiliano ya kila muda hawezi.
Na hapo mwanamke anaanza kukumbuka mtu ambae alikuwa anamjali na kumpa mda wake, tatizo lao wanaharibu sana.
 
Mtu akinikataa hilo ni tatizo lake

Shida ya wabongo tunapenda show off,sasa kama huyo kwenye picha alishindwa nini kumvisha huyo demu faraghani wakiwa wawili,Ili hata kama demu atakataa inabaki aibu ya wawili!

Action equals reaction,ulitegemea kuuza mbele ya demu Ili upate ujiko mbele ya masela na mademu,demu naye kutaka sifa mbele ya shoga zake kuwa ni wa thamani akaamua kupindua meza

Usimpe mtu nguvu ya kuamua thamani Yako ndani ya jamii
In onyesha bado mtoto kwenye hii tasinia, weka akiba ya maneno.
 
Aliandika kwenye wasap status kua

Nikikupenda ukanikera nakuacha kama nilivokukuta

Kilichotokea sasa bora nisimalizie
 
Back
Top Bottom