Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli.
Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi?
Ukweli mchungu.
Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi?
Ukweli mchungu.