Nilipata maksi za umri wa mtoto kwenye EG106 ya Dr. Ishengoma wakati huo first year FoE ya UDSM na ME207 ya Warioba Second year ya FoE UDSM. Niliona chuo kichungu sana wallah..!!Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau kilichokupeleka ni baadhi ya kati ya mengi.
Je ulishawahi kukutana na kisanga gani mpaka ukapaona chuoni kama uwanja wa vita? Uliweza kurudi kwenye mstari au mpaka leo bado ni majuto tu?
We Bantu Lady na Kelsea mnanicheka?? Mwenzenu nilijua ndo badi tena hadi nikawa naogopa kwenda Diamond Sound pale MwengeNilipata maksi za umri wa mtoto kwenye EG106 ya Dr. Ishengoma wakati huo first year FoE ya UDSM na ME207 ya Warioba Second year ya FoE UDSM. Niliona chuo kichungu sana wallah..!!
Pole sana, yote maisha 😃We Bantu Lady na Kelsea mnanicheka?? Mwenzenu nilijua ndo badi tena hadi nikawa naogopa kwenda Diamond Sound pale Mwenge