Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?


Kwamba anawafukuza makusudi?
 
Mkoa wenu una madudu yote ya ajabu nigga cheki mfano huu mziki wa leo
 

Attachments

  • IMG20240204150457.jpg
    1.8 MB · Views: 12
Nyie watu mbona majasiri kihivyo au ndo stori za nyuma ya keyboard. Mie nyenyere tu chumbani silali iweje waishi mazingira hatarishi namna hiyo utembee mida ya uhuru wa fisi, nyoka, simba, chui, tembo nk nk. Hapa ndo picha la kihindi kutolewa Facebook na kuletwa humu saver linajaa mada fikirishi hakuna
 
Uso kwa mbavu na mamba saa kumi na mbili asubuhi. Sijajua nilifikaje nyumbani na yeboyebo moja mkononi badala ya mguuni

Uso kwa uso na nyoka twaita swila asee nimetoka mapumziko ya saanne. Namkuta jamaa kajaa sebleni alafu nimempita mlangoni nampitaje ili nitoke njee?
Ikabidi nijitoe ufahamu na wenge limezidi siku hiyo ndo nikatambua niko na kipaji cha kuruka sema ni mvivu tu

Nikafanikiwa kufika kwa jirani baba juma. Baba juma anafika naonamwenzangu anatetemeka miguu kuona ile ndude inaingia chumba kingine akasema mdogowangu tuondoke hapa pana vita nzito ila usiseme kama tumemwona mdusu humu ndani
Siku hiyo ndo nikajua kazi ya kuka macho naimudu vema mana nyumba nzima mimi niko macho peleang
 
mamba anataka akule mzigo?
 
Makangaga mkuu!! Mwenyeji wa huko au Gypsum ilikupeleka? Nimeshawahi kusikia hizi tetesi lakini sijawahi kukutana nao.
 
Chatu.
 
Hivyo vyote sio hatari. Omba siku ukutane na mwanamke. Ukichomoa njoo nitag uchukue vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…