Umewahi kukutana na usumbufu unaosababishwa na huu mmea

Kwa kilugha ni nkondo, hutumika kuua wadudu kwenye miili ya wanyama na kuvulia samaki mtoni au kwenye mabwawa. Sio upupu
Niliwahi kuuona Kibaha vijijini wanauita Kibaazi na Morogoro vijijijini,wanyeji wa huko wanaita Kitupa.
Wote wanautumia kuvulia Samaki.
wanautwanga, wanautupa mtoni samaki wanalewa.
Sijajua kama hilo tunda lake nalo huwa linatumika!!
 
Mi najuaga upupu ni majani fulani hivi yanaotaga kipindi cha mvua. Majani yake huwa kama na meno ya msumeno. Hiyo mbona ni mimea ya kawaida tu
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Dah! Umalile syosa Malafyale!!! Ndobhile fijo bha malankoma no nkondo.. Hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Yah unaitwa Tephrosia vogellii au fish poison kama common name... Ur right bro....
 
Au Tephrosia purpurea na sumu yake ni rotenonoids ambayo ni sumu kali sana kwa samaki lakini kwa binadamu ni hafifu na hivyo haidhuru kwa kiwango cha kusababisha madhara.
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Nyie ndio mnaotuua kwa kutulisha vitu vya ajabu..
 
Ni mmea ambao unaweza kukusababishia usumbufu mpaka ukajuta kuzaliwa. Watoto ambao wamekulia ndani ya mageti watakuwa hawajui. Unaweza kuwaadhibu watu na huu mmea

View attachment 1732173
Mimi sijakukua getini kabisa ila sijawahi kuuona kabla naskiaga tuuu taarifa zake kumbe ndo upo hivyo [emoji15]
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Kweli, sisi kwetu tunauita utupa,matumizi yake ni kama ulivyoeleza
 
Huo sio upupu, majani hutumika kuogeshea mifugo kama mbwa, mbuzi, n.k...
Kwa watu wa Kyela majani yake hutwangwa kisha humwagwa mtoni, samaki hukosa nguvu na kufa, inakuwa rahisi kuvua. Kwa kilugha huitwa NKONDO
Kwetu huitwa utuba/utupa. Kazi ni hiyo hiyo
 
Hii ndio dawa hasa ya fumanizi kwa demu wako, unamwagia upupu kwenye mbunye yake.
 
Back
Top Bottom