Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

Kuna mwanangu anaitwa Erick huyu jamaa hatari kwa kumbukumbu .Mpaka saa kaimeza yote kichwani.Hata umuamshe usiku ,umuulize saa ngapi sasa hivi.Utajibiwa tu ni saa saba na dk 14 ukicheki kwenye simu ni kweli.Sijui ni jini huyu au alien.
😐 Duh, Mr masaa, huyo alikuwa jini kabisa,
 
Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu.

Mbona mwanzo umetuambia alikuwa haendi kanisani wala msikitini?
Muonekano wa nje, alionekana mstaarabu sana, aliye vaa Sura ya udini, ila nyumba za ibada hajawahi kanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…