fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
yaani bongo hii sio poa kama kuna video moja imetrend sana jana ya yule dada muuza ndz kkoo utashangaa nae anapata mashavu na matangazo ya kutosha kwa kipaji chake cha kutikisa makalio😀, namkumbuka yule jamaa , Kuwa naye anataka management