Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Nice..Labda we ndo unikimbie tu
Binadamu why mkimbiane bhana..Umenipa moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice..Labda we ndo unikimbie tu
Binadamu tuna vioja vingi
Nikipata muda nitaandika hapa kilicho nitokea juzi hapa daresalama kwny jiji la joto.Subiri umkute kachefukwa sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila leo katoa ushauri wa muhimu sana. Watu hawana ubinadamu tena. Unamkimbia binadamu mwenzako kisa ana meno yenye unjano njano? Kweli? Wewe umekamilika? Hata kama hajakuvutia kwa nini usijitenge naye kwa heshima bila kuumiza hisia zake na kumwachia makovu ya kudumu kisaikolojia? Tukumbuke kuwa dunia ni hii hii na maisha ni haya haya....
Ukorofii[emoji23][emoji23][emoji23]Daah demu alikuwa na picha nzuri aisee kipindi hicho nipo facebook lakini cha kushangaza hajawahi piga picha full body nilimtongoza akaingia kingi
Na zile picha zangu za nguo za sikukuu kaelewa show siku nakutana naye inaonekana kazaliwa mguu mmoja mfupi kwahyo kiatu kimoja kina soli ndefu hapo hapo niligeuza sikumsemesha alishangaa nafika home nikaenda mblock
Mi Ni mroho wa pussy ila ile hapana ila kama kuna baharia anataka aitombeee aseme tu nimpe username yake FB na description
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu umezungumza kweli yote.Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".
Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..
Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo
Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .
Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.
NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...
ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....
BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA
UNA KAZI GANI MWANANGU??
UNAMILIKI NN???
UCHUMI N.K??
akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.
BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.
IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.
Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.
Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...
Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....
Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.
BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.
Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....
JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Watu eight, mkongwe sana mzee baba.
We ni noma lakini