Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1665810174631.png

Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu

Atakulipa?
Atakulipa kwa wakati?
Asipolipa unafanyaje?
Uko tayari kudhulumiwa?
 
Duh.. hua hawalipi mkuu. Waone hvo hvo.. mkopeshe hela ambayo u can afford to loose, usivunje kibubu.
Maana ukishamkopesha utashangaa unapewa mbususu kama vile n dawa hv, yaan utapewa tani yako. We unaenjoooy kumbe ndo unajilipa
 
View attachment 2387582

Mpenzi hakopeshwi, anapewa kama una uwezo wa kumpa
 
Sifa ya urafiki/ mapenzi ni kutoa pasipo kujali faida!
Mambo ya mikopo waachie benk au vikoba wenye katiba!.
Penzi linaoongozwa na katiba ya NIPE YOTE YA MOYONI!
Kuita hongo mkopo ni kujidanganya nafsi na akili kwa wakati huo!
UKITOA UKUBALI KULIWA!
 
Duh.. hua hawalipi mkuu. Waone hvo hvo.. mkopeshe hela ambayo u can afford to loose, usivunje kibubu.
Maana ukishamkopesha utashangaa unapewa mbususu kama vile n dawa hv, yaan utapewa tani yako. We unaenjoooy kumbe ndo unajilipa
Hahaha balaa
 
Inategemea unakuwa na mwanamke au mwanaume wa aina gani. Binafsi wa kwangu tunakopeshana hadi fedha kubwa na tunarudishiana. Ni discpline nimejiwekea au labda nae kajiwekea na ni miaka mitatu mpaka leo. Tena huwa tunalipana na riba.

Naamini kwa hivi tutaweza kila mtu kuheshimu jasho la mwenzake. Na inaleta afya zaidi baina yetu, uaminifu zaidi..pia hii hunifanya hata mtu mwingine nikimkopesha au akinikopesha niilipe kwa wakati nisiwe tapeli...its my personal principle anyways.
 
Back
Top Bottom