View attachment 2387582
Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu
Atakulipa?
Atakulipa kwa wakati?
Asipolipa unafanyaje?
Uko tayari kudhulumiwa?
Hahaha balaaDuh.. hua hawalipi mkuu. Waone hvo hvo.. mkopeshe hela ambayo u can afford to loose, usivunje kibubu.
Maana ukishamkopesha utashangaa unapewa mbususu kama vile n dawa hv, yaan utapewa tani yako. We unaenjoooy kumbe ndo unajilipa