Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kama unazo............zitakuwa za bangi
 
Uzungu uzungu na maigizo mengi ofisini ndio yanapelekea ngono zembe. Unakuta mke anajenga mazoea ya kijinga na vijana vijana au waume za watu ofisini.


Uzungu uzungu wakati wa lunch ndio huanzisha mawasiliano na michezo ya kutamaniana na kuombana mchebwede.
 
Hujamkuta bikra maana yake alishatombwa sana kabla haujamuona mbona hukuchukia kabla hujanyoa kwa hio kausha mwanaume ndio maana tumewekewa makoromeo shingoni tuwe na vifua wanaume
Binti usiongee kama unanijua sana,halafu acha kujilengesha kwangu.
 
Tafuta kazi au shughuli ya kufanya, kisha omba taraka na watoto umwachie ili atafute mke mwema ataamua kuchagua aanze upya au akusamehe, utakuja kuamka umekatwa nyonyo moja! Mtu gani asiyeachilia moyo wake !
Nimechekaa...hahaa..akinya bata🤸‍♂️
 
Tena na hizi simu ndio kabisa. Full kuchat na viemoj ndio vinarahisisha mambo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…