Umehamia kwa to yeye Dr Lizzy umembwaga?sina ushauri nime kumiss tu 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehamia kwa to yeye Dr Lizzy umembwaga?sina ushauri nime kumiss tu 😊
Kama unazo............zitakuwa za bangiAisee....kumbe huko makazini mnaliwa tuu kirahisi hivyo.
Kwanza huyo mume wako naye bewege.
Ssa anakasirika nini mke kwenda kutombwer nje...sii anaonja de libolo tofauti.
Ebu mwambie aache ushamba bwana. Karne ya sasa haya mambo ya kuchapiwa vitu easy tuu.
Ni kukaa chini na kuulizana sasa bby umejifunza style gani mpya huko
Acha kuquote comment zangu,sina cha kujadili na wewe usiyekua na uelewa.Ukishagundua umechapiwa KAUSHA km hukumkuta bikra kausha usijitie kujua sana
Shetani alikuwa kazini asingeweza kuondoka bila kuliwa.Kabisa Kuna jambo lilimpeleka....
kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?
Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Mvumilivu au mwanaume bwegeNingekuwa wewe. Kipindi kile kile ningeondoka nimpunguzie huyo kaka maumivu. Sijui kichwani kwake anawaza nini. Hata hivyo ni mwanaume mvumilivu sana.
aisee nimecheka sana 😂😂😂😂😂, wewe mzee hapana 😂🙌Wee umesoma vizuri lakini....bidada alilowanisha kyupi mpaka skirt sii mchezo. Bidada alikuwa na feelings kali sana kuelekea kijanaaa
Ila sie vidume tukisema shetani katupigia hamkubali 🤣🤣🤣🤣Shetani alikuwa kazini asingeweza kuondoka bila kuliwa.
Safi ndio tunatakiwa burudika tukiwa hapa jfaisee nimecheka sana 😂😂😂😂😂, wewe mzee hapana 😂🙌
Haipogi hvi bwana weAmelowa , amelowa amenyeshewa na mvua....
Sijui Kwa nini sijakuonea huruma ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hujamkuta bikra maana yake alishatombwa sana kabla haujamuona mbona hukuchukia kabla hujanyoa kwa hio kausha mwanaume ndio maana tumewekewa makoromeo shingoni tuwe na vifua wanaumeAcha kuquote comment zangu,sina cha kujadili na wewe usiyekua na uelewa.
Uzungu uzungu na maigizo mengi ofisini ndio yanapelekea ngono zembe. Unakuta mke anajenga mazoea ya kijinga na vijana vijana au waume za watu ofisini.Ila wadada sehemu za makazini mnakuwa dhaifu sana sijui kwa nn?
swala la kuchepuka lina vichochezi ,ukiviepuka basi unaweza kuepuka ngono kabisa .
Baadhi ya vichochezi hivyo ni ;
1.Nguo zisizo na stara
2. Mazoea ya kijinga haswa baina ya jinsia mbili.
3. Mambo ya kupenda kwenda kweny sehemu za starehe sijui miziki kama sherehe au party na watu wengine.
4.Pombe na vilevi vingine.
Dada zangu mnakuwa na elimu pamoja na ujuzi ndo inawasaidia kupata kazi zenu ila mnashindwa kujiamini ...Mfano wewe umeolewa ila still unashindwa kujitambua hapo kazini ni ujuzi wako ndo unakuweka hapo ila unaanzisha mazoea ya kishamba bila ya kujielewa ni hatari sana.
Baadhi ya mambo ni mepesi ila angalia na matokeo yake ,ngono ya nusu saa unaweza kuharibu furah yako ya milele.
Nawakubali ,wadada wale waliopo serious makazini na wanajua nin kimewaleta urafiki wa kishamba unakuwa vulnerable kuingia kweny mambo ya hovyo ,Hizi kisses and hugs achaneni nazo naona sana hii tabia unaweza kufanya mara ghafla mwenza wako kaingia ofisini kwako basi hapo ni mgogoro mkubwa.
Fanya kilichokuleta unapewa mtego simple unashindwa kuchomoa?
Sifurukuti aisee🤭
Kwa nini?Kama unazo............zitakuwa za bangi
Binti usiongee kama unanijua sana,halafu acha kujilengesha kwangu.Hujamkuta bikra maana yake alishatombwa sana kabla haujamuona mbona hukuchukia kabla hujanyoa kwa hio kausha mwanaume ndio maana tumewekewa makoromeo shingoni tuwe na vifua wanaume
Kalowa utelezi asee Ila ndio nyege zilivyoAmelowa , amelowa amenyeshewa na mvua....
Sijui Kwa nini sijakuonea huruma ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimechekaa...hahaa..akinya bata🤸♂️Tafuta kazi au shughuli ya kufanya, kisha omba taraka na watoto umwachie ili atafute mke mwema ataamua kuchagua aanze upya au akusamehe, utakuja kuamka umekatwa nyonyo moja! Mtu gani asiyeachilia moyo wake !
Jaman🤭 kwahiyo mada umeitupia kulesina ushauri nime kumiss tu 😊
Tena na hizi simu ndio kabisa. Full kuchat na viemoj ndio vinarahisisha mambo kabisaUzungu uzungu na maigizo mengi ofisini ndio yanapelekea ngono zembe. Unakuta mke anajenga mazoea ya kijinga na vijana vijana au waume za watu ofisini.
Uzungu uzungu wakati wa lunch ndio huanzisha mawasiliano na michezo ya kutamaniana na kuombana mchebwede.