Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kabisa Kuna jambo lilimpeleka....

kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?

Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Muongo huyu...haiendi hivyo
 
Fanya mambo yote mwanamke lakini sio kwenda nje,. Kama mume kagundua na kakusamehe basi ujue na yeye Kesha anzisha mahusiano huko nje. Hicho nikitu kibaya Kwa mwanaume na huji hisi labda yeye nidhaifu ndo maana unatoka nje. Wanaumia ndo tumeumbiwa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja na hiyo ni nature ndo maana hata Kwa wanyama ipo.
 
Acheni upumbavu utamuaminije mtu ambaye mmejuana ukubwani. unamueleza siri zote ni ndugu yako huyo?
 
Ndo uhalisia
 
Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
Kabisa,Yaan mtihani anaoπŸ€’πŸ˜”
 
Kama reference ni wanyama ukiulizwa mbona mbwa, paka jike moja linatatuliwa na midume hata 8 jibu litakuwa ni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…