stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kwa hio jamaa alimvutisha bangi dadeq hii km kweli maana wahuni wanatumia kila mbinu hadi Ugolo wanaweka kwenye juice ya machungwaKama unazo............zitakuwa za bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio jamaa alimvutisha bangi dadeq hii km kweli maana wahuni wanatumia kila mbinu hadi Ugolo wanaweka kwenye juice ya machungwaKama unazo............zitakuwa za bangi
Muongo huyu...haiendi hivyoKabisa Kuna jambo lilimpeleka....
kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?
Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Ndo ukweli mkuuDada unapiga za uso kama mandonga 😀😀
Shetani akupitie mara moja, ulishaona shetani akupitie mara 20? Hapo niwewe unampitia shetani.Ila sie vidume tukisema shetani katupigia hamkubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅 uzi mrefu hasa sijasomaJaman🤭 kwahiyo mada umeitupia kule
KaharishaNimechekaa...hahaa..akinya bata[emoji2223]
yeah ni kweli,,maisha hayahitaji makasiriko 😊Safi ndio tunatakiwa burudika tukiwa hapa jf
Kwani tunachepukaga mra 20 mbona mnatuonea nyie kwa kujifanya malaika.Shetani akupitie mara moja, ulishaona shetani akupitie mara 20? Hapo niwewe unampitia shetani.
Acheni upumbavu utamuaminije mtu ambaye mmejuana ukubwani. unamueleza siri zote ni ndugu yako huyo?Hapana,siyo wivu.
Ninachoamini mimi ni kwamba sisi wanaume huwa tunawaamini sana wake zetu kiasi cha kuwashirikisha kwenye mambo ambayo ilitakiwa yawe siri. Sasa inapotokea kafanya usaliti mambo ya kuwaza ni;
1 Mmewe nina mapungufu gani?
2 Kamuambia huyo hawara yake siri zangu ngapi?
3 Je,walianza lini,kabla ya kumuoa au baada?
4 Huenda hata fedha zangu anatumia huyu hawara yake (mfano huyu dada alikuwa akiwekewa mafuta kwenye gari na mmewe lkn hilohilo gari ndo lililompekea jamaa maku) ikumbukwe mmewe anatokwa jasho for the betterment of his family,sasa hili ndo baya zaidi.
5 Huenda jamaa kakosana hata kutengana na ndugu zake kisa huyu mkewe,lkn leo analipwa usaliti,km siyo kumtafutia kifo ni nini malengo ya mkewe?( Maswali ni mengi sana na mkewe hana majibu). Wanaume hatuna wivu,bali hatupendi kudharauliwa na tunaowaamini.
Ndo uhalisiaHuyo Mwanaume wake ni mpumbavu kwa kuendelea kuishi na msaliti,
Msaliti hua hasamehewi hata kidogo,wala huyo Mume wake hato badilika wala hatakuja kumuamini tena hata kama itapita miaka 50,
Hiyo ndoa imeshakufa tayari,huyo malaya achukue mazagazaga yake asepe aende kwa huyo kijana wake ili wakaangalie movie kwenye lap top vizuri.
Ndo maana nimesema kuwa mambo amabayo yalipaswa kuwa siri.Acheni upumbavu utamuaminije mtu ambaye mmejuana ukubwani. unamueleza siri zote ni ndugu yako huyo?
Kabisa,Yaan mtihani anao🤒😔Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
Mwee nyie kuna kitu mnanificha sio bureUsimtilie mzabzab maanani, we tulia zako hapo hapo!🤓
Ni mara moja tu mbona kasema hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani tunachepukaga mra 20 mbona mnatuonea nyie kwa kujifanya malaika.
Tena huyu kwa kuwa alidakwa asingedakwa angekuwa anaipeleka mbususu daily
Sii alidakwa unadhani asinge dakwa asingerudi kupata utamu wa de libolo la kijanaNi mara moja tu mbona kasema hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama reference ni wanyama ukiulizwa mbona mbwa, paka jike moja linatatuliwa na midume hata 8 jibu litakuwa ni nn?Fanya mambo yote mwanamke lakini sio kwenda nje,. Kama mume kagundua na kakusamehe basi ujue na yeye Kesha anzisha mahusiano huko nje. Hicho nikitu kibaya Kwa mwanaume na huji hisi labda yeye nidhaifu ndo maana unatoka nje. Wanaumia ndo tumeumbiwa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja na hiyo ni nature ndo maana hata Kwa wanyama ipo.
Sasa utafanyeje ndugu yangu? Kufanya vinginevyo ni kujidhalilisha tu![emoji38][emoji38][emoji38]