Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kabisa Kuna jambo lilimpeleka....

kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?

Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Muongo huyu...haiendi hivyo
 
Fanya mambo yote mwanamke lakini sio kwenda nje,. Kama mume kagundua na kakusamehe basi ujue na yeye Kesha anzisha mahusiano huko nje. Hicho nikitu kibaya Kwa mwanaume na huji hisi labda yeye nidhaifu ndo maana unatoka nje. Wanaumia ndo tumeumbiwa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja na hiyo ni nature ndo maana hata Kwa wanyama ipo.
 
Hapana,siyo wivu.
Ninachoamini mimi ni kwamba sisi wanaume huwa tunawaamini sana wake zetu kiasi cha kuwashirikisha kwenye mambo ambayo ilitakiwa yawe siri. Sasa inapotokea kafanya usaliti mambo ya kuwaza ni;
1 Mmewe nina mapungufu gani?
2 Kamuambia huyo hawara yake siri zangu ngapi?
3 Je,walianza lini,kabla ya kumuoa au baada?
4 Huenda hata fedha zangu anatumia huyu hawara yake (mfano huyu dada alikuwa akiwekewa mafuta kwenye gari na mmewe lkn hilohilo gari ndo lililompekea jamaa maku) ikumbukwe mmewe anatokwa jasho for the betterment of his family,sasa hili ndo baya zaidi.
5 Huenda jamaa kakosana hata kutengana na ndugu zake kisa huyu mkewe,lkn leo analipwa usaliti,km siyo kumtafutia kifo ni nini malengo ya mkewe?( Maswali ni mengi sana na mkewe hana majibu). Wanaume hatuna wivu,bali hatupendi kudharauliwa na tunaowaamini.
Acheni upumbavu utamuaminije mtu ambaye mmejuana ukubwani. unamueleza siri zote ni ndugu yako huyo?
 
Huyo Mwanaume wake ni mpumbavu kwa kuendelea kuishi na msaliti,

Msaliti hua hasamehewi hata kidogo,wala huyo Mume wake hato badilika wala hatakuja kumuamini tena hata kama itapita miaka 50,

Hiyo ndoa imeshakufa tayari,huyo malaya achukue mazagazaga yake asepe aende kwa huyo kijana wake ili wakaangalie movie kwenye lap top vizuri.
Ndo uhalisia
 
Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
Kabisa,Yaan mtihani anao🤒😔
 
Fanya mambo yote mwanamke lakini sio kwenda nje,. Kama mume kagundua na kakusamehe basi ujue na yeye Kesha anzisha mahusiano huko nje. Hicho nikitu kibaya Kwa mwanaume na huji hisi labda yeye nidhaifu ndo maana unatoka nje. Wanaumia ndo tumeumbiwa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja na hiyo ni nature ndo maana hata Kwa wanyama ipo.
Kama reference ni wanyama ukiulizwa mbona mbwa, paka jike moja linatatuliwa na midume hata 8 jibu litakuwa ni nn?
 
Back
Top Bottom