Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kama yeye hajawahi kucheat kabisa,Dawa mtafutie wanawake watano tena pisi Kali haswa wajilengeshe kwa jamaa na uhakikishe awalambe wote. Hii itamsaidia kupona na kusahau maumivu uliomsababishia kwa kiasi, utanishukuru baadae
 
Yeah!

90%+ hii ni chai....
 
Unaongea rahisi kwasababu hujaoa na hujui uchungu wa mke
Wala hamna kigumu hapo...mke kama kitombwer kasha tombwer wewe una options mbili tuu.
Mosi mkae mkubali kuwa ilishatokea basi mke aendelee kukupa mbususu au pili fukuza mbwa hiyo lete pisi nyingine uishi kwa amani.
Sasa wee unaishi na mtu huku unamuwazia mabaya sii kujinyima raha ya maisha. Trust broken can never be rebuilt
 
Katika vitu vinavyopendwa sana na Ibilis ni kuachanisha ndoa yaani mke na Mume! maana anajua atapata njia rahisi ya kuharibu watoto wenu maana watakosa malezi ya wazazi wawili. pia wewe mwanamke hutakaa utulie tena maana utakuwa ushaachwa na ngumu kwa mwanamke aliyezalishwa watoto watatu kuolewa tena(though inatokea ila si sana) ,so utaishia kuwa ni mwanamke wa kuziniwa tu

Shetani alimtumia huyo jamaa wa ofisini kuivunja ndoa yenu....yaani alifanya kazi mbili kwa wakati mmoja.

Kwanza alimuingia jamaa akafanikiwa kukushawishi ukamsaliti mumeo

Kisha fasta akamuingia Mumeo kumtia wasiwasi aebde kukucheki ofisini , alipokukosa akampa mawazo kuwa unamcheat.

So hapo amefanikiwa kuivunja ndoa kwa jiwe moja tu.

Amini Amini nakwambia kuwa mumeo hataweza kusahau tukio hilo na litamuuma mpk anazama futi 6 chini ya udongo.

Anaweza kukusamehe ila hawezi kusahau abadani.
 
Ndo maana nimesema kuwa mambo amabayo yalipaswa kuwa siri.
sawa mkuu wanaume wengi tunafeli hapo .unamwambia mke siri kibao oh kwetu tuko hivi,mali hii oh nilipata kwa kuua ohh sijui. matokeo yake tunajikuta ni wa tumwa kwa wake zetu wenyewe kwa sababu ukimsema tu ,unajua atakinukisha .tuweni makini tuwe na siri sio kilakitu mwanamke lazima ajue.kumbuka huyo ni rafiki tu ambaye mmekubaliana muanzishe familia mda wowote anaweza kubadilika.unamueleza siri zako zote baadae anazitumia kama siraha kukuangamiza we mwenyewe
 
[emoji2]
 
Dada mmeo hatapona kwa kumfanyia mambo ya nje ya mwili,mmeo kaumia nafsi.Hivyo inahitajika nguvu ya kiroho kuponya majeraha yale so ushauri wangu okoka ili upatanishwe na Mungu akusaidie jinsi ya kumwombea ndipo utaokoa ndoa yako hivihivi utajikuta umepoteza kila kitu
 
The only thing kumpa jamaa amani ni ww kuomba talaka kwa sharti la kumuachia mali yote au uchukue ulichochuma na sio kugawana nae mali. Muache mkaka wa watu na mali yake. Ww nenda kwa uliyeanzisha nae mahusiano.
Kashaacha KAZI Sasa Ndo shida hyoo
Ila honestly sijawahi cheat na simuelewi mwanamke anaemcheat mmewe labda mme Yuko jela siwezi msemea ila mnaishi wote ndani...
Noooo...nooo..nooo....
Wanaume wake zenu wanaliwa mnoo makazini
 
Unamsalitije mumeo kiboya hivyo? Yaani ulishindwa kabsa kusimamia uongo mpk ukakiri.. m'ume ht umkamate live hakubali, wew ni nini kilikufanya ukiri, ht km kulikuwa na vithibitisho tosha hukutakiwa kukubali kwa mustakabali wa maisha yenu
 
Hilo ni jeraha la ndani huwez mponya Kwa vitu vya nje. Kila dhambi Ina gharama yake ya kulipa.
Jipangie ratiba, ya kuomba na kufunga kumuombea Mungu amponye huo Moyo ili akae sawa.
Tena sio tu kumuombea akae sawa, uombe Toba Kwa Mungu Kwa kuruhusu uovu ukapita hapo, na umebomoa nyumba yako Kwa mikono yako, hakikisha unaomba Toba vizuri,

Cz wewe umesababisha wewe usimtafute shetan hapo,

Sijui Mungu atakujibu lini, ila atakujibu, hiyo iwe ni agenda yako ya maombi Hadi uone matokeo Kwa Macho.

Usikemee shetan na tayar ulimpa uhalali wa kuingia ktk ndoa. Omba Toba Ili Mungu akusaidie.

Sababu unaweza fanya yote, moyo wa binadamu kaumba Mungu, na yeye ndiye anaweza kuufinyanga tena. Huwez mbadilisha Kwa akil zako huyo mumeo.

Usitegemee uombe siku Moja ukaacha, ugonjwa unaingia Mara moja lakini dawa inafany kazi Kwa siku kadhaa, inategemea na aina ya ugonjwa
 
Ilitokea mara moja dear,
Noo...as a woman.unapaswa kwanza kuheshimu kiapo,mume na familia,Mimi nilishapata scenario kama Yako na nilikataa macho makavu with big no Huku namtazama usoni
Tuseme kwelii Ht we ulitaka pia hiko kitu kitokee ungekua serious kabisa asingekufanya kitu Wala Nini
Mwanaumee anaangalia respond Yako,ikiwa positive unaliwaa...
Km sitaki kuliwa Ht univue nguo hunili ng'ooo
Sidhani km ulibakwa dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…