Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Tatizo kila badiliko ndo litanfanya ahisi kajifunza kwa mchepuko
 
Hakuna mwanamke wa Kufanya hilo dili bila kuharibu Kazi mkuuu... yani kitaumanaa tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku isiyo na jina demu wa dili atabeba mimbaa kama sio Kumchana mume wa huyu demu ukweli wote.
 
Mambo ya ndoa na mahusiano kuyashauri inahitaji hekima sana kwa kweli hasa kwa ambao hatujawahi kuingia

Huyu dada tatizo kajiweka victim sana, akubali makosa na akubali kujisamehe kwanza yeye na nafsi yake lakini pia ampe space jamaa ya kupumua, asilazimishe kufanya chochote tofauti .. Focus aweke kwenye watoto tu na kutenda yanayopasa kutenda kama mke bila kutegemea reaction ya mwanzo kwa sababu ni natural kwa kovu alilolisababisha

Kulazimisha na kujikumbusha yaliyopita yanamkosesha hata yeye furaha na ni ngumu kutoa positive energy kama ndani kwako kupo negative..

Kingine ajiingize kwenye maombi, kuna mambo ambayo yapo juu ya uwezo wetu kifikra, kihisia na kiroho.
Akabidhi kila kitu kwa Mungu wake ili kila akiamka, ndoa isiwe gereza ila sehemu yake nzuri ya kuishi. Akijipenda, akahamisha focus kwa watoto kama kitu kinachombakiza ndoani lakini kutenda yanayompasa kufanya pasipo kulazimisha kitu kwa mumewe, automatically tension iliyojitengeneza baina yao itapungua na hakika Mungu atafanya kitu...
 
Huu ushauri inategemea na aina ya mwanaume na aina pia ya mwanamke.....yeye kacheat afu kalowa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani itakuwa alikuwa analowaa kabla ya kuliwaaa..Sasa uliwe na condom unaendeleaje kulowa...??? Au jamaa alikuwa kibamia..
 
Vumilia jamaa atakuja kukusamehe mkiwa wazee na mtaishi kwa furaha na amani kuitafuta pepo ila kwa sasa hata mimi siwezi kukusamehe tena una bahati jamaa bado anakula mzigo. Mimi hapana yani ningeleta chuma kipya hapo hapo ndani wewe ubaki mlezi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani itakuwa alikuwa analowaa kabla ya kuliwaaa..Sasa uliwe na condom unaendeleaje kulowa...??? Au jamaa alikuwa kibamia..
Hatari aisee huyu alimpenda sana yule kijana sio kwa kulowa kule
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani itakuwa alikuwa analowaa kabla ya kuliwaaa..Sasa uliwe na condom unaendeleaje kulowa...??? Au jamaa alikuwa kibamia..
Alilowa kabla ya kuvuliwa nguo 😁😁😁 sema nyege zilikuwepo.
Yupo demu anajielewa kwenye show yaani anavua nguo zote anaingia bed unajilia dodo kiulaini.
 
Yani ukimfumania mkeo au ukijua amecheat hata ukiingiza dushe umwagi kabisa. Mbunye unaiona ya baridi kama maji ya Kwenye friji. Kiufupi kila siku nazidi kuamini islamic ni dini ambayo ipo sahihi sana katika maisha yakawaida ya binadamu. Tunapigwa sana fix kanisani.
 
Hiyo ni tabia yako....Ina maana wewe una utoto kiasi gani mpaka ushindwe kugundua kuwa laptop ilikuwa ni mtego tena Kwa mtu aliyekutamkia kwamba anakupenda. Mapenzi uliyoyafanya ni hulka ya mawazo yako juu ya huyo mchepuko wako.

Tabia ni kama ngozi ukiipaka dawa inabadirika rangi, dawa ikikosekana inarudi kwenye rangi yake ya awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…