Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Hakuna mwanamke wa Kufanya hilo dili bila kuharibu Kazi mkuuu... yani kitaumanaa tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku isiyo na jina demu wa dili atabeba mimbaa kama sio Kumchana mume wa huyu demu ukweli wote.
Uko sahihi
 
chakuchosha Zaidi Mpk mbili usiku Bado mpo tu kaahh
Ingekua bahati mbaya km anavodai Kum na mbili angekua nyumbani ila alinogewa na shoo na wahuni wanavojua kukamia
Mie nilijua mapema kuwa Sara mzuri alikwisha mwingiza moyoni huyo mjuba hivyo haikutokea kwa bahati mbaya, na ingekuwa hajamuingiza moyoni asingeingia hata humo ndani kwa jamaa kisa anafuata laptop.

Kwa kifupi alifuata mgegedo na akaupata
 
Nikimtaja wataanza kumtolea macho hubby wangu [emoji3059]
Nitajie mie tu ili nianze maombezi asije ibiwa na kukukimbia mazima.

Nitamuombea kwa kulitaja jina lake yaani utamshukuru Mungu kwa jinsi jamaa atakavyo tulia na wewe tu.

NB
huwa nafanya maombezi bure kabisa siombagi sadaka, sina hata kapu la sadaka home kwangu so usinione kuwa ni mwizi wa hela za watu, mie huombea tu na kuacha Mungu ajibu maombi.
 
Asante sana,
Japo sijawahi kas nikaongea nae jinsi ninavyojisikia nikimuona si mtu wa furaha . Nitajitahidi kufanya hasa ilo la kwanza.
 
Mkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
Mpe tako
 
Asilimia kubwa ya wanaume wanauliwa na wake zao kimya kimya bila kujulikana. Sababu kuu ni mbili:-

1. Mwanamke akitoka nje ya ndoa akanogewa, ni rahisi sana kumtanguliza mbele za haki mume wake ili apate uhuru wa kula vitamu vya nje.

2. Mme akigundua ya kwamba mke wake ametoka nje ya ndoa, hawezi kusahau kamwe na atakufa kwa stress kama ataendelea kukaa na huyo msaliti. Wanaume tuko weak sana katika kukabiliana na stress.

N.B
Sheria ni moja, kama umegundua mke wako amesaliti ni kuachana naye kwa ajili ya kulinda uhai wako na uhai wake maana unaweza kuua pia. Hii ni principal ukienda nayo against lazima utakipata cha mtema kuni.

Mtu hafi kibwege hivyo kama nzi...
 
Kama story hii ni ya kweli, Fanya hivi.

1. Amini hilo tukio halitasahaulika, umefanya umefanya bhaaas. kwahiyo usifanye juhudi eti mambo yarudi kama mwanzo.

2. Kama hakuna hatari za domestic violence, usivunje ndoa kabisa kama mlivyoshauriwa na wazazi wa pande zote mbili, wana busara ndo maana wamewashauri hivyo.

3. Anza kujifunza kuishi naye kama business partners, mambo ya watoto kusoma, jinsi ya kuweka sawa biashara flan, uwekezaji flan..., Hapa kazi tu, akitaka mchezo na we usiwe na haraka naye mpaka akuseduce kdg..., Ila usimnyime hata siku moja.

4. Ondoa lile gubu la kike kabisa, huna muda wa kuringa, kubembelezwa nk nk, sasa hivi ni mwendo wa kutumia akili na kukubaliana kama watu wazima.

5. Tumia ushauri wa kumfanya naye acheat akose uhalali, kama ulivyoshauriwa hapo juu. .

With time atapona, ataona nia ya dhati ya kutaka kuendelea na ndoa. Hata isipokuwa hivyo, basi watoto watakuwa wamekua wamesoma na kupata haki zote.

Hakuna haki yako hata moja itapotea kwa kufanya hayo, kucheat hakukuondolei haki hata moja kwenye stahiki za vitu mlivyotengeneza pamoja, so endelea na bidii hiyo hiyo hupotezi.


Ukivunja kama lesbians, mashoga, na vijana wengine wa hovyo wanavyokushauri yatatokea yafuatayo.

1. Hiyo alama kwamba ulikuwa mke wa mtu na ndoa ikakushinda haitofutika, hivyo hicho kitu bado kitakuandama, hujakimbia kitu.

2. Hakuna mwanaume wa maana atakutaka, labda kula na kusepa, hata huyo kijana uliyemloweshea naye atakukwepa kiakili. utajikuta upo katikati huna anayekutaka, utakuwa tu mpira wa kona, nami ntakuja kama mshauri na mfariji nile nisepe. jinamizi la kukaa kwenye ndoa kuheshimiwa litaendelea kukutafuna kiakili.

3. Watoto wataishi maisha ya ovyo, mana hatujui mama wa kambo atakayepatikana atakuwaje, au baba wa kambo atakuwa na tabia zipi kama utaenda nao, ndo tunakuja kukutana na mzazi amelala na mwanaye tunashangaa kumbe huu ukambo kambo ndo unasababisha.

Niishie hapa kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hata ukimuoa bado atayombwa
 
Kila nikijiweka kwenye position ya huyo mwanaume sio ukiendelea kua mke wangu au kuishi kwangu toka siku hiyo....Haimake sense kuishi na mwanamke ambaye hauna hisia nae wala haumuamini tena.Sorry for a bitter truth ila you belong to the streets,the streets called and you answered so hapo ni Mungu tu ndo anaweza badili kinachoendelea.
 
Asante sana,
Japo sijawahi kas nikaongea nae jinsi ninavyojisikia nikimuona si mtu wa furaha . Nitajitahidi kufanya hasa ilo la kwanza.
huna unachojutia wewe.Ulipenda ulichofanya na kwakwel unacho stahili ni kumwacha mshkaji aendelee na maisha yake..Kawa mjinga sana huyo jamaa kuwasikiliza hao wazee walimsisitiza asikuache.
SAsa wewe endelea tu kukaa hapo utaondoka na ulemavu siku sio nyingi kama sio kufa kabisaa haklaf jamaa akafungwe maisha mwisho watoto wenu wabaki yatima kisa upumbavu wakomShetan hajamalizana na wewe.anataka akutumie zaid kumtia baba wa hao watoto jela af wewe uende kaburin maana hapo balaa alilolenga shetan ni kuwaangamiza na kuharibu maisha ya hao watoto wabaki yatima.
 
achana na haya mambo banaaa.. vitu vingine unatakiwa ku imagine tu
 
Unachepuka masaa matatu si unawazimu wewe.halafu unapata na ujasiri wa kusoma text ya mchepuko usiku huohuo. We mzoefu huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…