YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Ni nani huyo tumpe congratulations
Nikimtaja wataanza kumtolea macho hubby wangu [emoji3059]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani huyo tumpe congratulations
Uko sahihiHakuna mwanamke wa Kufanya hilo dili bila kuharibu Kazi mkuuu... yani kitaumanaa tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku isiyo na jina demu wa dili atabeba mimbaa kama sio Kumchana mume wa huyu demu ukweli wote.
Mie nilijua mapema kuwa Sara mzuri alikwisha mwingiza moyoni huyo mjuba hivyo haikutokea kwa bahati mbaya, na ingekuwa hajamuingiza moyoni asingeingia hata humo ndani kwa jamaa kisa anafuata laptop.chakuchosha Zaidi Mpk mbili usiku Bado mpo tu kaahh
Ingekua bahati mbaya km anavodai Kum na mbili angekua nyumbani ila alinogewa na shoo na wahuni wanavojua kukamia
Nitajie mie tu ili nianze maombezi asije ibiwa na kukukimbia mazima.Nikimtaja wataanza kumtolea macho hubby wangu [emoji3059]
Asante sana,Nakuelewa kuwa ulipitia kipindi kigumu sana na unaumizwa na hali ya ndoa yako. Ni muhimu kutambua kuwa hali hii imekuathiri kwa muda mrefu na inaonekana unapenda sana mume wako na unatamani kurudisha uhusiano wenu wa awali. Hapa kuna ushauri wa jumla ambao unaweza kuzingatia:
1. Mawasiliano: Ni muhimu kuwa na mazungumzo ya wazi na mume wako. Eleza jinsi unavyojisikia na jinsi unavyojisikitisha kuhusu tukio lililotokea. Eleza kwa kina jinsi unavyompenda na jinsi ulivyokosea. Toa mwanya wa mazungumzo na sikiliza pia hisia na maoni yake.
2. Uaminifu na uwazi: Onyesha uaminifu wako kwa mume wako na uhakikishe kuwa hali kama hiyo haitajirudia. Kuwa wazi juu ya hisia zako na tamaa yako ya kurekebisha uhusiano wenu. Weka mipaka na hakikisha kuwa unatekeleza ahadi zako.
3. Usikivu na kuelewa: Jitahidi kusikiliza na kuelewa hisia za mume wako. Anaweza kuwa ameumizwa sana na kuvunjika kwa uaminifu na inaweza kuchukua muda kwake kupona. Kuwa na subira na muonyeshe kuwa unathamini hisia na maumivu yake.
4. Kujenga upya imani: Kurejesha imani katika uhusiano wenu itahitaji muda na juhudi za pamoja. Weka mkazo katika vitendo vyenye uaminifu na uwazi. Tengenezeni muda wa kukaa pamoja na kufanya mambo mnapofurahia na kukuza upya uhusiano wenu.
5. Msaada wa kitaalam: Ikiwa unahisi kuwa nyinyi wawili mnahitaji msaada wa ziada, fikiria kumwona mshauri wa ndoa au mtaalamu wa saikolojia. Wataweza kuwasaidia kufanya kazi kupitia changamoto zenu na kutoa mwongozo unaofaa kulingana na hali yenu maalum.
6. Subira na uvumilivu: Kurejesha uhusiano wa awali baada ya kuvunjika kwa uaminifu ni mchakato mgumu na unachukua muda. Kuwa tayari kuvumilia changamoto zinazoweza kutokea na kuwa na subira katika safari yenu ya kujenga upya imani na upendo.
Ni muhimu kukumbuka kuwa kila uhusiano ni tofauti, na hakuna suluhisho moja sahihi ambalo litafanya kazi kwa kila mtu. Ni jukumu lako na la mume wako kufanya maamuzi yanayofaa kulingana na hali yenu na kujitahidi kuimarisha uhusiano wenu.
.
Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.
Mpe takoMkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
Mtu hafi kibwege hivyo kama nzi...
Na hata ukimuoa bado atayombwaAll of the above.
Ila kweli evu tutumie logic kidogo. Mke wako umemuoa ambaye wewe umemkuta tayari ameshaonja mboo kama kumi hivi. Wee mwenye kabla ya kumuoa umemgegeda wee ndio ukaamua kumuoa. Je kweli ni kweli kwamba katika miaka yote mtakayoisbi kwenye ndoa hatachepuka? Tuwe wakweli
Za kwangu nimeshidwa nisaidieniTumia mbinu mbadala kunrejesha kama zamani na hautaamini atakavyokua
huna unachojutia wewe.Ulipenda ulichofanya na kwakwel unacho stahili ni kumwacha mshkaji aendelee na maisha yake..Kawa mjinga sana huyo jamaa kuwasikiliza hao wazee walimsisitiza asikuache.Asante sana,
Japo sijawahi kas nikaongea nae jinsi ninavyojisikia nikimuona si mtu wa furaha . Nitajitahidi kufanya hasa ilo la kwanza.
Hii nafikili ni mzuri,. Tumia ushauri wa kumfanya naye acheat akose uhalali, kama ulivyoshauriwa hapo juu. .
achana na haya mambo banaaa.. vitu vingine unatakiwa ku imagine tuAll of the above.
Ila kweli evu tutumie logic kidogo. Mke wako umemuoa ambaye wewe umemkuta tayari ameshaonja mboo kama kumi hivi. Wee mwenye kabla ya kumuoa umemgegeda wee ndio ukaamua kumuoa. Je kweli ni kweli kwamba katika miaka yote mtakayoisbi kwenye ndoa hatachepuka? Tuwe wakweli
Unachepuka masaa matatu si unawazimu wewe.halafu unapata na ujasiri wa kusoma text ya mchepuko usiku huohuo. We mzoefu huna loloteDada pole kwa yaliokukuta,
Kwa kawaida sisi wanaume tuna wivu sana kwa wake zetu.
Yani mume akijua mkewe analiwa na mtu mwingine daa tunapata maumivu makubwa sana.
Tena tunaweza tusisahau maishayetu yote.
" ni bola kuwa mchafu hata pia kuwa hujui kupika lakini si kwenda kutoa utamu kwa kidume kingine".
Kusahau ni MUNGU mwenyewe tuu ndo anaweza kutusaulisha.
Basi kama ndo hivyo basi mume mwenyewe awe mzizi sana ndo atachukulia kawaida.
Ndo maana wanawake wanaotuelewa sisi wanaume kuwa tunawivu sana akitaka kucheat.
Anakuwa makini sana, wengi wanategea mume labda awe amesafiri kikazi ndo anacheat.
Au wengi wanacheat Asubui au mchana.
Wanawake wanaocheat jioni na night ni wachache sana kwani mume wake ni rahisi kumsitukizia.
Pole dada, vumilia tuu.
" Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenywe"
Kwamba hakulowa? [emoji23][emoji23]Hadithi hadithi njoo .........
Changamsha genge, dume limetulia hapa.