Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mwanamke kucheat ni hatari sana tena sana unamsababishia mume wako ageuke mbwa mwasherati vibaya mno!
Imagine we hujawahi kumcheat hata mizuka ikukupand unapiga nyeto Ili usimcheat lakin yeye simple like drinking water ankucheat
*****
Yes natamka nimekusamehe but in reality moyoni na kichwan najua tuu!
 
please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.
Kwanini mnataka kuolewa..?, tena siku hizi mnajipendekeza kwa mama mkwe na wifi pumbavu kabisa
kubalance gender at high degree.....
Kubalance nyoko 😡, wewe ni lesbian si bure
Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.
Sasa siuende ukae kwa hao wazungu
 
Kama kuna kitu mwanaume hawezi Kusamehe ni Mke wake kumsalitiii...!! Ngumu sana aisee hata yule jamaa aliejiuaa MC alijirusha gorofani nasikia aliacha Flash yenye kitu ndani sema sasa ndo hawajasema flash ilikuwa na nini...!
 
Kwa hiyo akasemaje ulivyombana?
Alikua hana jinsi maana nilikua na ushahid alikua anaomba nisimwache anasema ni shetani tu, hatua nilizochuka kwanza nilitaka kumuacha ila watoto ndio walionifanya nimsamehe maana niliwaza ni mwanamke yupi nitakayemuoa awapende hawa watoto, pia nilimwachisha kazi maana jamaa alikua mfanyakazi mwenzake ila mapenzi yamepungua simpendi kama mwanzo.
 
Noma sana!
 
Aisee hawa wanawake wanaliwa sana huko makazini. Bora uoe standard seven au form four failure tuu
 
Wanawke wkibongo wanpenda kitomga hawana lolote. Ndio maana nashangaa sana mwanaume wakibingo eti unaomba msamaha mke wako kwa kucheat. Useless kabisa. Nimetomber ndio sasa amua lakifanya kama kusepa sepa kama unataka kutulia na mie tulia the choice is urs lakini mie siwezi muomba msamaha mwanamke eti kw kuwa nimegegeda mbususu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…