Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Anajipa moyo kwamba hakuliwaUna uhakika hakuliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajipa moyo kwamba hakuliwaUna uhakika hakuliwa?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Una uhakika hakuliwa?
Na nahisi pia kuwa haelewi vizuri kuwa akili ya mwanamke hupotea kirahisi pale anapotongozwa mara ya pili, kwa kawaida hutamani sana kuonja tango jipya, so ni lazima alisonga mbele na kuliwa 😂😂Anajipa moyo kwamba hakuliwa
Hivi cute wife maana yake Nini?Hajajutia....Alikamatwa.
Kwanini mnataka kuolewa..?, tena siku hizi mnajipendekeza kwa mama mkwe na wifi pumbavu kabisaplease ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.
Kubalance nyoko 😡, wewe ni lesbian si burekubalance gender at high degree.....
Sasa siuende ukae kwa hao wazunguMzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.
Kama kuna kitu mwanaume hawezi Kusamehe ni Mke wake kumsalitiii...!! Ngumu sana aisee hata yule jamaa aliejiuaa MC alijirusha gorofani nasikia aliacha Flash yenye kitu ndani sema sasa ndo hawajasema flash ilikuwa na nini...!Mkuu pole mm pia yalinikuta 2017 nilipata mazungumzo kwa kutrack sim yake, hakuliwa ila alikua anaelekea kuliwa mkuu niliumia nusura ndoa ivunjike maana nilikua na ushahid ni miaka 6 lakini nikikumbuka naumia, mkuu hamna kitu kinauma kama usalit kwa mtu unayempenda na kumwamini.
OkUsipofanya HIVYO,hatobadilika na kinachofata utamuona kikwazo na kuanza mikakati mipya ya kumuondoa maishani mwako,yaani ndipo make yakawa SAWA jua utamuua KWA vyovyote tu vile coz huwezi ISHI KWA kero tena MAISHA YAKO yaliyobakia!!!
Alikua hana jinsi maana nilikua na ushahid alikua anaomba nisimwache anasema ni shetani tu, hatua nilizochuka kwanza nilitaka kumuacha ila watoto ndio walionifanya nimsamehe maana niliwaza ni mwanamke yupi nitakayemuoa awapende hawa watoto, pia nilimwachisha kazi maana jamaa alikua mfanyakazi mwenzake ila mapenzi yamepungua simpendi kama mwanzo.Kwa hiyo akasemaje ulivyombana?
Naam 🔥🔥📌📌📌📌mke kama huyu ni risasi tu au kumchoma kama mwizi .
NoMpe tako
Noma sana!Auze furaha yake kwa jitu bandidu kiasi hichi....yaani jitu limeshindwa msamehe limempeleka hadi kanisani na kwa wazazi eti nimechapiwa linaelezea watu na kumfedhesha dada wa watu ndiyo maana mwanamke anayejielewa yaani modern woman kwenye hili lazima atamove on kimya kimya bila msamaha.
Wadada wakibongo nilisha sema mwanaume ukiwa na pesa wanajizima data na kuuza furaha zao, what a nonesense. Nilishaandika uzi juu ya wadada hasa wabongo kuwa mwanaume ukiwa nazo anakuona wewe ndiyo cake, please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.
Natamani wise lady asome hapa ataelewa point kubwa niliyo andika hii ni kubalance gender at high degree.....yeye men akikosa vinaishia chumbani na kanisani havifiki ila kakosa mwanamke wa kiafrika yaani mpaka mtaa na mkoa na nchi vinajua. What a holeshit!....
Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.
The right apologize to her is to go and move on akijua kwako wewe mwanaume amesha haribu kwa kukosa na hawezi kuuza furaha yake kwako wewe mwanaume au kukuomba msamaha ambao ni useless help na kuzalilishana makanisani.
Mademu wa kizungu hawataki jam zaidi ya kuadmit mistake na kumove on.....
Huyu dada miaka mitatu na nusu kashindwa kumove on mpaka jamaa anampeleka kanisani na kumuitia wazazi na mwisho wa siku dada anaacha kazi ya mshahara wa laki 5.5.....yaani ingekuwa dada zangu wakichagga wasingefanya huu upuuzi....yaani huyo mwanaume ana nini cha maana sasa mpaka awe ruba kwako na kukuharibia maisha haya mafupi. Labda awe anakojoa dhahabu. Jifunze kumove on dada japo ashakuharibia.
Aisee hawa wanawake wanaliwa sana huko makazini. Bora uoe standard seven au form four failure tuuAlikua hana jinsi maana nilikua na ushahid alikua anaomba nisimwache anasema ni shetani tu, hatua nilizochuka kwanza nilitaka kumuacha ila watoto ndio walionifanya nimsamehe maana niliwaza ni mwanamke yupi nitakayemuoa awapende hawa watoto, pia nilimwachisha kazi maana jamaa alikua mfanyakazi mwenzake ila mapenzi yamepungua simpendi kama mwanzo.
Ili akampelekee jamaa ake kama ahsante kwa mzagamuo uliozamisha ndoa yakeOmba talaka hamuwezi fika popote.
Wanawke wkibongo wanpenda kitomga hawana lolote. Ndio maana nashangaa sana mwanaume wakibingo eti unaomba msamaha mke wako kwa kucheat. Useless kabisa. Nimetomber ndio sasa amua lakifanya kama kusepa sepa kama unataka kutulia na mie tulia the choice is urs lakini mie siwezi muomba msamaha mwanamke eti kw kuwa nimegegeda mbususu nyingine.Auze furaha yake kwa jitu bandidu kiasi hichi....yaani jitu limeshindwa msamehe limempeleka hadi kanisani na kwa wazazi eti nimechapiwa linaelezea watu na kumfedhesha dada wa watu ndiyo maana mwanamke anayejielewa yaani modern woman kwenye hili lazima atamove on kimya kimya bila msamaha.