Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mwanamke kucheat ni hatari sana tena sana unamsababishia mume wako ageuke mbwa mwasherati vibaya mno!
Imagine we hujawahi kumcheat hata mizuka ikukupand unapiga nyeto Ili usimcheat lakin yeye simple like drinking water ankucheat
*****
Yes natamka nimekusamehe but in reality moyoni na kichwan najua tuu!
 
please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.
Kwanini mnataka kuolewa..?, tena siku hizi mnajipendekeza kwa mama mkwe na wifi pumbavu kabisa
kubalance gender at high degree.....
Kubalance nyoko 😡, wewe ni lesbian si bure
Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.
Sasa siuende ukae kwa hao wazungu
 
Mkuu pole mm pia yalinikuta 2017 nilipata mazungumzo kwa kutrack sim yake, hakuliwa ila alikua anaelekea kuliwa mkuu niliumia nusura ndoa ivunjike maana nilikua na ushahid ni miaka 6 lakini nikikumbuka naumia, mkuu hamna kitu kinauma kama usalit kwa mtu unayempenda na kumwamini.
Kama kuna kitu mwanaume hawezi Kusamehe ni Mke wake kumsalitiii...!! Ngumu sana aisee hata yule jamaa aliejiuaa MC alijirusha gorofani nasikia aliacha Flash yenye kitu ndani sema sasa ndo hawajasema flash ilikuwa na nini...!
 
Kwa hiyo akasemaje ulivyombana?
Alikua hana jinsi maana nilikua na ushahid alikua anaomba nisimwache anasema ni shetani tu, hatua nilizochuka kwanza nilitaka kumuacha ila watoto ndio walionifanya nimsamehe maana niliwaza ni mwanamke yupi nitakayemuoa awapende hawa watoto, pia nilimwachisha kazi maana jamaa alikua mfanyakazi mwenzake ila mapenzi yamepungua simpendi kama mwanzo.
 
Auze furaha yake kwa jitu bandidu kiasi hichi....yaani jitu limeshindwa msamehe limempeleka hadi kanisani na kwa wazazi eti nimechapiwa linaelezea watu na kumfedhesha dada wa watu ndiyo maana mwanamke anayejielewa yaani modern woman kwenye hili lazima atamove on kimya kimya bila msamaha.

Wadada wakibongo nilisha sema mwanaume ukiwa na pesa wanajizima data na kuuza furaha zao, what a nonesense. Nilishaandika uzi juu ya wadada hasa wabongo kuwa mwanaume ukiwa nazo anakuona wewe ndiyo cake, please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.

Natamani wise lady asome hapa ataelewa point kubwa niliyo andika hii ni kubalance gender at high degree.....yeye men akikosa vinaishia chumbani na kanisani havifiki ila kakosa mwanamke wa kiafrika yaani mpaka mtaa na mkoa na nchi vinajua. What a holeshit!....

Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.

The right apologize to her is to go and move on akijua kwako wewe mwanaume amesha haribu kwa kukosa na hawezi kuuza furaha yake kwako wewe mwanaume au kukuomba msamaha ambao ni useless help na kuzalilishana makanisani.

Mademu wa kizungu hawataki jam zaidi ya kuadmit mistake na kumove on.....

Huyu dada miaka mitatu na nusu kashindwa kumove on mpaka jamaa anampeleka kanisani na kumuitia wazazi na mwisho wa siku dada anaacha kazi ya mshahara wa laki 5.5.....yaani ingekuwa dada zangu wakichagga wasingefanya huu upuuzi....yaani huyo mwanaume ana nini cha maana sasa mpaka awe ruba kwako na kukuharibia maisha haya mafupi. Labda awe anakojoa dhahabu. Jifunze kumove on dada japo ashakuharibia.
Noma sana!
 
Aisee hawa wanawake wanaliwa sana huko makazini. Bora uoe standard seven au form four failure tuu
 
Wanawke wkibongo wanpenda kitomga hawana lolote. Ndio maana nashangaa sana mwanaume wakibingo eti unaomba msamaha mke wako kwa kucheat. Useless kabisa. Nimetomber ndio sasa amua lakifanya kama kusepa sepa kama unataka kutulia na mie tulia the choice is urs lakini mie siwezi muomba msamaha mwanamke eti kw kuwa nimegegeda mbususu nyingine.
 
Back
Top Bottom