Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mwenye makosa ni mwanamke na wala siyo huyo jamaa wa huko kazini, wewe imagine wanawake wote wanaosumbuliawa kwa kutongozwa sana, wachukue maamuzi kama ya mtoa mada eti kisa sijui wanasumbuliwa sana, you think hiyo itakuwa ni akili au upumbavu na kutokujielewa?
 
Ni ngumu cute,bila kuremba huo ndo uhalisia....kikubwa tulia tu endelea kumweshimu na kujishusha sikuzote.....afu acha kumsifu Kwa bed maana utamwongezea hasira atakuona mnafki
Exactly akubaliane na hali tu, ameyakanyaga, wanaume huwa tunaumia sana iki happen situation kama hiyo.
 
Ni kweli, ila hata huyo Dogo wa kazini ana makosa yake, wewe unajua ni mke wa mtu lakini bado unaendelea kumtongoza na kumuwekea mitego makusudi .
 
Huyo jamaa kuna siku Atakukula tu tena.. WATU WANAPASHA VIPORO KIRAHISI SANA
Hii iko wazi and the way alivyosifia kwenye uzi wake kwamba gemu ilianza sa kumi sijui mpaka sa mbili ndo akashtuka, obviously kuna wakati akiwa katika kuwaza lazima atakuwa anamkumbuka jamaa.
 
Ni kweli, ila hata huyo Dogo wa kazini ana makosa yake, wewe unajua ni mke wa mtu lakini bado unaendelea kumtongoza na kumuwekea mitego makusudi .
Bro kutongozewa mkeo ni situation ya kawaida sana na ina happen kwa ndoa nyingi sana,, all in all swali linalobaki ni jeh mkeo anajitambua? Jeh anakupenda? Jeh anakuheshimu?
 
One ya point 14 ,ukaingia udsm form six ,ndo naiskia kwako[emoji854]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli basi walikuwa na Raha one ya 14 A level ila pia mwalimu mmoja aliniambia enzi zao kulikuwa hamna division Bali ukipata "S" tu unaandikiwa umefaulu sawa na aliyepata D,C,B,A
 
Nenda kaolewe na mchepuko
Sasa hapo hamkomoi mkewe... mkewe anafurahi kisiri siri na anakunwa nje na hawara zake, au ukute anawaleta hapo hapo wamkune, mumewe akiwa hayupo. Jamaa anajikomoa mwenyewe. Ni lofa!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
kweli kuacha kumgusa na huku bado uko nae kwa dunia ya leo bado ni ujinga kwa upande wa mwanaume na kutojitambua kwa mwanaume. fukuza tafuta mtu mwingine uishi nae uinjoy maisha. kisa cha nini kujitesa.

"kwa habari ya uzinzi amepatikana na kosa hilo mwache"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa..
 
Huyo mwanaume,katuwakilisha wànaume wengi.Siwezi kukupenda kama zamani,endapo nikijua we ni msaliti na siwezi kuamini kama hunioni mi ni mjinga kuliko huyo uliyechepuka nae.
Nitakudanganya kua nakupenda,lakini ukweli ni kwamba kovu la kunisaliti litakua linayoneshwa kila mara.Olewa na unayempenda,kuepuka kumuumiza mumeo.Usalití una athari kubwa sana hasahasa kama mume sichepuki.Chepuka kama mume wako anachepuka,huyo mumeo hatakua na maumivu kama yule ambaye hachepuki.
 
Imeniuma mno yaani mwenyewe Ni mme wa mtu. Ila mpaka nimeogopa kutongoza mke wa mtu ingawa Nina mchepuko mke wa mtu Ni mwanamke mzuri mno
Kaombe toba mkuu, achana na huo uovu mapema otherwise.....
 
Hamuwezi kuwa kama mwanzo kamwe,sisi wanaume kuna muda tunakubali tu matokeo kwamba tayari nishachapiwa ila kamwe hatusahau wala kurudi katika hali ya awali.
Hapo jamaa anaishi na wewe ili tu kumalia muhula wa ndoa ulosalia,ila imani kwako hana tena.
 
Wewe hutoaminika tena siku zote za maisha yako. Kilicho baki kaa nae ulee watoto wenu na kumuongezea mwingine na mwingine , usitegemee akuamini wala kukuthamini tena kama mwanzo

Mwanamke ukisha chiti na mumeo akajua thamani yako imeshaisha hataufanye nini huwezi kuwa na thamani ile ile..

Nb. Mwanamke msaliti hasamehewi hata kidogo ila unampuuzia tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…