Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Wamalize kimafia😂😂ukute wa nje kanogewa akamwaga Siri 😂😂
 
Umeongelea roho au nafsi ya mwanaume katika kusamehe usaliti wa ndoa kirahisi rahisi sana.
Kwenye hilo wanaume wapo tofauti sana na wanawake, najua hutanielewa labda uumbwe na roho kama ya mwanaume.
 
Hata mimi tu siwez kumsamehe mke akichepuka, ni bora mngeachana tu ile mwanzo.

Siku ukiteleza ukafanya kosa jingine jamaa atakumaliza huyo, hasira zake hazijaisha hata kidogo.

Kama ni watoto mtalea tu hata mkiwa mbalimbali ili kulinda uhai wenu.
mimi nliliweka wazi hilo mapema sina msamaha kwenye hilo yani mke wabgu nliwambia hata dunia nzima iniombe samahani sitosamehe kabisa, siwezi kwa kweli
 
Kwa mwanaume rijali, kuchapiwa inaumiza moyo Sana!
 
Kwani kila anaye chepuka haridhishwi na mumewe?
Huyu anasema mumewe alikuwa anaumwa kwa siku kadhaa hawakufanya tendo, kosa la mume ni lipi? Kuugua?

[emoji1787][emoji1787] Na wewe unaamini kweli alichepuka sababu ya mume kuumwa?! Hizo ni sababu tu za kijinga za kutaka kujitetea, ila ukweli kuna kitu alitaka kujua na si umeona alivyomsifia huyo jamaa!

Na km ule mchepuko ungemsaidia na kumpenda hata asingekuja kuomba ushauri sababu alijua kumkuna kipere
 
Yawezekena pia tatizo liko kwa mwananke pia, (la kisaikolojia) anajistukia na kujihisi his yawezekena jamaa hajabadilika kivile.
Sawa lkn mtu kuendelea Kuishi mkiwa hamuelewi sio kitu kizuri haijalishi amekukosea kias gani
 
Mhn! Hi dizain kama chai😄

Otherwise usitafute sababu ya kwenda kuchukuwa laptop kwa mtu aliyekutongoza. Wtf.
Hawezi kusahau huyo jamaa. Kama siyo hao watoto angekutoa baru.
 
Najaribu kuya feel maumivu alionayo huyo Mume wako[emoji24][emoji24]

SO SAD[emoji24][emoji24]

KATAA NDOA, NDOA NI MATESO
 
Nilimuotea wife anatongozana na mshikaji kwenye sms, nikachukua panga kisha nikampigia video call huyo jamaa...nikawa namtandika wife mabapa ya panga ya hatari huku jamaa yake anaangalia kwenye video call. Ni mweupe sana nikawa nikipiga panga bapa kunaacha alama ya panga imejichora mgongoni, mapajani, mikononi, kwenye vigingi kote ni alama za mapanga tu. Nipo nae Hadi Leo ingawa simtilii umuhimu kiivo ni vile tu tuna family ya 3 kids tunaishi kimachale machale tu simjali kama zaman tokea hapo.
 
Daah maumivu ya husband wako nimeyafeel Kabisa, pole Sana ndugu yangu kwa mtihani huo mzigo wewe ndio ulidhamiria kufanya zambi,najua unajutia, mke anauma, Mimi demu tu alinisaliti kwa jamaa dereva boda boda sijui kwa vile sikuwa na maisha ya kivile,niliumia Sana na demu tuliachana mwishowe hadi leo anajutia ktka maisha yake kwani pia alibeba mimba jamaa akakataa kwenda kumsafisha kwani iliharibika mwishowe kwa ubinadamu nilimpeleka hospital akasafishwa kwa usaliti wake alitahayari lkn baadae kwa miaka kwenda akajanambia anatatizo kuhusu uzazi
 
Ulidhamiria kuliwa wewe, mwanamke anaongozwa na hisia zaidi kwaiyo mpaka kuliwa in konde boy voice tayari ulikua unahisia na uyo mjomba kama usipokua makini utaliwa tena kimasihara maana hapo kinachokuliza ni guilty/hatia kuwa mumeo kajua
 
Ushauri wangu we endelea kua mke mwema tu,muwazi na mpende Sana tu..
Hakuna namnaa hapo ya kufanya ila mmegundua Wanawake wanaopewa Kila kitu Ndo wanaongoza kuchepuka etiii
Huwa wanaamini kwamba kwa jinsi waume zao walivyo "nice" basi Wataomba msamaha na yataisha.
 
Omba mtengane kwa muda hata miezi kadhaa. Mweleze unataka kumpa muda apone majeraha yale akishakua sawa mrudi kuishi kama zamani. Akishindwa basi itabidi muachane.
Atazini tena huyu. Kama wiki tu alishindwa wakitengana miezi je?
 
Ya ni kwelj simu yake mimi nawez shika mda wowote hana shida yoyote hata password hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…