Akati Niko shule miaka hiyo Kuna jamaa alikuwa anaimba music ,ni msanii wa mbele, alikuwa anasema hivi,. ;there is no excuse my friend,for breaking my heart x2,,,,mi nilielewaga hapohapo tuu,
Ila mumeo ana Tabia zote za kiume, asilimia 97 he is the man, hizo tatu ni za kuwasikiliza wazazi,
NB:nyie wanawake epukeni sana kuwasaliti wanaume ambao hamjawai kuwaona na michepuko Wala kushika sms za mapenzi katika cmu zao,na simu zao Zina Tabia sawa na remoti za tivii sebuleni,Haina pass word na Kila mtu anatumia, Hawa Huwa Wana mambo machache akijua umemsaliti, 1)akuache hata ulie vipi 2)akuue kabisa, 3) ajiue ,,,,,chunguzeni ,,,,,
Huyo mumeo ni kitu Cha hatari mpaka hapo, ukichunguza lazima alikuwa na Tabia hizo, Omba Mungu,
Kumsaidia mruhusu atoke nje, anaweza akarudi au asirudi,mana pia ni wacheshi kwa watu waliowazoea ,ila wapole sana kwa wageni unaweza SEMA Huwa haongei, ni watu wa mood, akitoka anaweza akabalance hisia kwamba kumbe ni kawaida tuu, au akakuona wa ovyo zaidi,