Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Bora kuwa bachelaa tuu,,,jamaaa kamtimizia mwanamke Kila ktu na bado kaliwaa ...
 
Pole sana dada yangu hayo ni mapito wengi wamepitia, ukweli pia wanawake 99% waliopo maofisini wanaliwa na work mates
Lakini bora wewe umejutia kosa angekua cute wife wala asingejuta tena ndio angezidisha, bahati mbaya tu ndoa hana
 
Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Tutakushauri Nini ndugu? Siku zote mwanaume aliekwisha kukutongoza ukimkatalia afu uje uende kwake lazima atakulala tu ili awe mshindi na Hilo ni la kukwepa . Yaani umkatae afu uende geto?geto kufanya Nini?

Ona kompyuta ilivyokuharibia maisha.
Wanaume hawasahau haraka kitu kushare kwao ni big NO

Ona umeacha na kazi ili umridhishe lakini waaapi anakuona msaliti tuu sabbu alikuamini sana

Ona Yale Mapenzi alokuwa akikuonyesha yalivyoyeyuka ,

Ona unavotamani angalau hata dk Moja akuonyeshe Mapenzi ya kipindi cha nyuma

Endelea kumshawishi na kujutia ulilolifanya huenda atarudisha Mapenzi yake kwako japo sio Kwa asilimia zote kama zamani.
 
Jinga kabisa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambwr rutty ndio style gani tena hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa jicho mkuuu ,,ss cjui naweee utapita uko uko..
 
Pole sana dada yangu hayo ni mapito wengi wamepitia, ukweli pia wanawake 99% waliopo maofisini wanaliwa na work mates
Lakini bora wewe umejutia kosa angekua cute wife wala asingejuta tena ndio angezidisha, bahati mbaya tu ndoa hana
🤣Jaman,kwahiyo ukikosewa ndivyo ufanyavyo?
 
Bora kuwa bachelaa tuu,,,jamaaa kamtimizia mwanamke Kila ktu na bado kaliwaa ...
Wewe watu wanakunya givi sio tabia.
Mwanamke au mwanaume ambaye kabla ya ndoa alishatomber/ kutombwer na wandu tufauti huyo ndio tabia yake na ataendelea kuwa hivyo mpaka kifo. Usidanganyike eti watu ubadilika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa jicho mkuuu ,,ss cjui naweee utapita uko uko..
Ah inabidi mwanawane upite tuu maana mkeo sii kashakwambia alichoenjoy huko
 
Ukiaminiwa,ukadharahu,gharama ya kurejesha kuaminiwa ni kubwa sana na hata huweza kuchukua uhai wa mtu. Lipia tu gharama za udadisi wako.

Kikawaida haiezakani kurejesha dhamana na thamani uliyokuwa ukipewa na mmeo ikiwa uliyaandika ni ya kweli.
Samahani,mimi siyo mwanamke ila nimeguswa tu na kuhisi maumivu aliyopitia huyo mwanaume mwenzangu.
 
Mimi kamwe siwezi kumsamehe mwanamke msaliti.mwanaume anatamaa mwanamke anapenda.hadi kufikia hatua ya kuchiti maana uake ulimuelewa sana jamaa wa kando.ningekuwq mm huo ndionungekuwa mwisho wa maisha ya ndoa na wewe malaya muuza maku
 
Imeniuma hii story kama mtoto wa kiume daaah😓😓😓😓.
Ungejitahidi asijue. Inauma kichiziiiiiii.
Maji yashamwagika 3 years bado haelewi.
Kaanze maisha yako mama. Katulie, jitulize, niamini ukiwa na utulivu atakurudia.
 
Aisee,hapo husamehewi cute....afu tukipendwa tupendeke aisee....hao wanaotupenda tukishaolewa ni waongo wanataka kamserereko tu....ukiachika wanakukimbia.

Cc: Countrywide
Dada na kumuomba Mungu pia,mie nishaapa sichepuki lakini nasema peke yangu sitaweza Mungu atie mkono wake dunia inavishawishi hii,acha kabisa
 
Wewe watu wanakunya givi sio tabia.
Mwanamke au mwanaume ambaye kabla ya ndoa alishatomber/ kutombwer na wandu tufauti huyo ndio tabia yake na ataendelea kuwa hivyo mpaka kifo. Usidanganyike eti watu ubadilika.
Mwanadamu Huwa anabadilika akipatwa na janga flan ila likipità Huwa anasahau nakurudi Kwenye Hali yakee,,,,hapo mume anaweza akarudi Kwenye Hali yake km zaman alafu chaajabu huyu huyu mwanamke aliyesamehewa akaja lalana na jiran au boda boda wakee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…