Sarah mzuri
Member
- May 27, 2023
- 43
- 143
- Thread starter
- #61
Hata mawasiliano naye sina tena.Huyo jamaa kuna siku Atakukula tu tena.. WATU WANAPASHA VIPORO KIRAHISI SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mawasiliano naye sina tena.Huyo jamaa kuna siku Atakukula tu tena.. WATU WANAPASHA VIPORO KIRAHISI SANA
Bora kuwa bachelaa tuu,,,jamaaa kamtimizia mwanamke Kila ktu na bado kaliwaa ...Yaani wee midume ukamlawiti mwanaume mwenzio kisa mkeo kapanua mapaja mwenyewe huko ni kukosa akili.
Pili ni ujinga kujidanganya kwamba mwanamke ambaye unamuoa akiwa breki pumbuz kwamba hatachepuka. Thats just being unrealistic. Ukweli ni kwamba wengi wetu tupo kwenye ndoa lakini hatuna sifa kuu ya kuwa kwenye ndoa. Haya sasa akimwacha huyo mke wake ataenda kwa mwanamke mwenginnaye huyo akitombwer atamuacha sasa sii bora tuu asioe awe anageheda tuu kama mzabzab
X ni X tu....zama zikipita zinakuwa zishapita mkuuAh kwa hiyo sio single mama😲😲
Maex nao sii wanapashaga maana mna msemo wenu ex anapewa tuu cha maingi awe na hela
Tutakushauri Nini ndugu? Siku zote mwanaume aliekwisha kukutongoza ukimkatalia afu uje uende kwake lazima atakulala tu ili awe mshindi na Hilo ni la kukwepa . Yaani umkatae afu uende geto?geto kufanya Nini?Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa jicho mkuuu ,,ss cjui naweee utapita uko uko..Jinga kabisa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambwr rutty ndio style gani tena hiyo
🤣Jaman,kwahiyo ukikosewa ndivyo ufanyavyo?Pole sana dada yangu hayo ni mapito wengi wamepitia, ukweli pia wanawake 99% waliopo maofisini wanaliwa na work mates
Lakini bora wewe umejutia kosa angekua cute wife wala asingejuta tena ndio angezidisha, bahati mbaya tu ndoa hana
Wewe watu wanakunya givi sio tabia.Bora kuwa bachelaa tuu,,,jamaaa kamtimizia mwanamke Kila ktu na bado kaliwaa ...
Ah inabidi mwanawane upite tuu maana mkeo sii kashakwambia alichoenjoy huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa jicho mkuuu ,,ss cjui naweee utapita uko uko..
Ukiaminiwa,ukadharahu,gharama ya kurejesha kuaminiwa ni kubwa sana na hata huweza kuchukua uhai wa mtu. Lipia tu gharama za udadisi wako.Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.
Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.
Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.
Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.
Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.
Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.
Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.
Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.
Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.
Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.
Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.
So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.
Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.
Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.
Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.
Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.
Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.
Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.
Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.
Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.
Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.
Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.
Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.
Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.
Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.
Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.
Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.
Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.
Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.
Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.
Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.
Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.
NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Mimi kamwe siwezi kumsamehe mwanamke msaliti.mwanaume anatamaa mwanamke anapenda.hadi kufikia hatua ya kuchiti maana uake ulimuelewa sana jamaa wa kando.ningekuwq mm huo ndionungekuwa mwisho wa maisha ya ndoa na wewe malaya muuza makuHabari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Dada na kumuomba Mungu pia,mie nishaapa sichepuki lakini nasema peke yangu sitaweza Mungu atie mkono wake dunia inavishawishi hii,acha kabisaAisee,hapo husamehewi cute....afu tukipendwa tupendeke aisee....hao wanaotupenda tukishaolewa ni waongo wanataka kamserereko tu....ukiachika wanakukimbia.
Cc: Countrywide
Mwanadamu Huwa anabadilika akipatwa na janga flan ila likipità Huwa anasahau nakurudi Kwenye Hali yakee,,,,hapo mume anaweza akarudi Kwenye Hali yake km zaman alafu chaajabu huyu huyu mwanamke aliyesamehewa akaja lalana na jiran au boda boda wakee...Wewe watu wanakunya givi sio tabia.
Mwanamke au mwanaume ambaye kabla ya ndoa alishatomber/ kutombwer na wandu tufauti huyo ndio tabia yake na ataendelea kuwa hivyo mpaka kifo. Usidanganyike eti watu ubadilika.
Wanalika sana.maofisini. Kuna rafiki yangu anakula mke wa mtu, anafanya nae kazi. Tena mume wake akisafiri huwa anenda kulala nae kabisa mpaka morning[emoji1787]Jaman,kwahiyo ukikosewa ndivyo ufanyavyo?