Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.
Wewe hufai kua mke wa mtu wewe ni wa kupigwa pumbu na kuachwa uendelee kuzagaa wewe sio mwanamke wa kuoa wewe hufai kabisa
 
USHAURI
1.endelea kumheshimu ila acha kuwa una muuliza uliza au kuendelea kumuomba msamaha kuhusu hilo jambo kwani kufanya hivyo ni kumkumbusha.

2. Kama Kuna kitu unafikilia kufanya au unafanya( Cha ziada) wakati wa tendo ili kumkoleza zaidi acha! Kuwa normal kama ilivyokua mwanzo. Kuzidisha ufundi kutamfanya jamaa afikilie kumbe na mchepuko wako ulikua ukimfanyia hivyo hivyo.

3. Ongeza kumjali binafsi.

4. Kama sio mchepukaji basi hakikisha unamtengenezea mazingira achepuke na umfume(red-handed) ikiwezekana hata na beki3 kama unae, kama huna basi mpange hata rafiki Yako alafu uwafume.

Nakuhakikishia asilimia 90-100 msala utakua umeumaliza.

5.hii sio lazima lkn kama yote hayo yatakushinda washirikishe wazazi wako kuhusu mwenendo wa mmeo nazani watakua na njia mbadala ya kumalizia hilo tatizo. Asante 🙏
 
Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.
Ungekua hautaki kutombwa hapa usingeenda kwake ungemwambia mkutane sehemu akuletee wewe ni Malaya tu acha kujiliza hapa ukataka sympathy ya kijinga kwa Jamii jamaa yako ana haki kukulia bati wewe sio mwanamke hauheshimu ndoa yako wewe sio mwanamke wa kuoa wewe ni chapa ilale
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.

Shukuru Mungu hana bastola, mimi ningekufukuza milele nisikuone machoni mwangu na watoto hutawaona kamwe
 
Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.
Yaan umejipeleka mwenyewe ukatombwe na unaenda akili yako inajua kabisa huku naenda kutombwa alafu unakuja kujiliza ujinga hapa tena bahati yako umepata mwanaume asie na Jazba za haraka ungekua huna kiungo Cha mwili mda huu km sio sikio basi pua na hio yote sababu jamaa ulie nae anakupenda Ila umeamua kumsaliti tena makusudi kabisa wewe Malaya kabisa wewe
 
Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.
Yaan unaipamba hadi shughuli kua ilikua kubwa huu si ndio umalaya wenyewe huu sasa yaan huu ujasiri unautoa wapi kusifia Mambo aliyoyafanya mwanaume mwingine yaan umenakiri kila alichokufanyia na tigo alikula ama hakika daah jamaa ana haki ya kukaa na mawazo ushatolewa bikra ya tigo tena hakuna mke hapa wewe ni Malaya
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Daaah!! I feel sorry for you kama story ndivyo ilivyo. Ukweli ni kwamba maisha yenu ndo yataendelea hivyo hadi kifo chenu.
Kama atarudi kuwa kama mwanzo itakuwa miujiza. Hatahivyo, mshukuru hata anaendelea kuloweka kidudu chake hapo. Me siwezi kabisa.

We all cheat, lkn fanya ufanyavyo isije vuja. Ikivuja tu, hasahasa kwetu wanaume tukijia mke ame cheat, end of era and beggining of a new era.

Mwamba si angekuoa sasa jamani?
 
Kama sio mchepukaji basi hakikisha unamtengenezea mazingira achepuke na umfume(red-handed) ikiwezekana hata na beki3 kama unae, kama huna basi mpange hata rafiki Yako alafu uwafume.
Yaan hapa ndio unaharibu wewe kumbe ndio michezo yenu au sio yaan mnaenda kutombwa alafu mnatengeneza red handed zenu ili iwe ngoma draw kwanini lakini mnafanya hivi ? Mnapenda kutombwa ovyo Malaya nyinyi mnapenda kutombwa wakati mmeshaolewa tulieni na ndoa zenu Malaya nyinyi mwingine wamemtoa macho huko Arusha sababu ya kupenda kutombwa ovyo jinga sana
 
Ndiyo maana nawashangaa wanawake mnaoingia kwenye ndoa. Unawezaje kulala na mtu mmoja tu muda wote??

Kuwa huru, ishi huru, ishi peke yako ili uchague nani wa kulala naye, ubadilishe ladha na aina ya ddyudyu.

Ushauri wangu kwako. Badilisha staili ya kungonoka, anza kumpa tigo, fanya BJ na uwe unameza shahawa zake, mbuzi kagoma kwenda kwa sana na badilisha miguno. Utanishukuru.
Sina hamu na kizazi hiki🤓
 
Haya maneno unayasema kwasbb hujaolewa, lkn ukishaolewa mumeo atakukinai mpk unaweza kuchepuka na mkata nyasi za kulisha ng'ombe.

Mtu yule yule, kibamia kile kile na staili ile ile mwaka nenda mwaka rudi inakera asikwambie mtu. Utachepuka tu.
Kwanini Uolewe na Kibamia?? Hamkutesti mitambo kabla ya kuoana??
 
Haya maneno unayasema kwasbb hujaolewa, lkn ukishaolewa mumeo atakukinai mpk unaweza kuchepuka na mkata nyasi za kulisha ng'ombe.

Mtu yule yule, kibamia kile kile na staili ile ile mwaka nenda mwaka rudi inakera asikwambie mtu. Utachepuka tu.
Kwa hio na wewe ukiolewa utakua Malaya unatombwa nje na ndani au sio ?
 
Back
Top Bottom