Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 8, 2024 #1 Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?