Umewahi kupigwa hadharani? Mimi yalinikuta!

Umewahi kupigwa hadharani? Mimi yalinikuta!

mbona wako sio mtumbwi wa vibwengo,wangu ni mtumbwi wa majini[emoji23][emoji23].
sipendi ugomvi mpaka umri huu kisa nilipigwa na mwanamke"mwanamke" nikiwa darasa la tatu tu.

shuleni nilikuwa mpenda sifa sana,halafu maarufu shule nzima nikiwa la kwanza tu.natongoza mpaka wadada wa darasa la saba wengine wanaambizana wanacheka nikipita,hwaelewi huo ujasiri nautolea wapi!!!!

tukiwa darasani nakumbuka demu mmoja ambaye niko naye darasani alikuja akanambia nini sijui??vile namwona mshamba sio hadhi yangu maana namingo na wakubwa nikamjibu mbovu,darsa zima likacheka wakaanza kumzomea,nisijue ana kinyongo na mimi nikaja kumuuliza nini sijui'akaninyooshea kidole nikakiputa kwamba aache dharau mimi sio wa kunyooshewa kidole,aisee kilikuja kibao hicho[emoji28][emoji28],sikutegemea kwakweli.
kujaribu kujibu mashambulizi aaah wapi!!nilichelewa akanikamata mikono,nyanyua juu akanishusha kama gunia juu ya dawati,mademu huwezi pigana naye ukiwa karibu atakuaibisha.
halafu yeye ni kama aliishaanza kuvunja ungo alinizidi pound kiasi fulani.

nilichapika kweli shati vifungo vyote kuleee,nakuja kuamuliwa sina hamu.
saa nne mapumziko napewa pole tu na warembo wangu wa madarasa mengine maana nilikuwa sitamaniki[emoji23].

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mna mada za kutukumbusha mbali enzi za utoto(akili za utoto), nimegunduw watu wengi huwa sio wagomvi wakisha balehe labda itakuw nikwajili ya kujitunzia heshima walio nayo. Its a good thing.
 
Nilivyo kuwa primary nilikuwa napenda ugomvi sana na nilikuwa na sambaza dozi kweli kweli maana nilikuwa na nguvu japo watu walio nilikuwa nahisi siwezi nilikuwa sianzishi nao ugomvi labda itokee tu.
Kuna siku nikajichanganya Kwa lijamaa limoja amerudia darasa kwahy alikuwa mkubwa kwangu alaf lilikuwa lirefu nikazipanga jamaa lilikuwa Lina nguvu likaniangusha chini likanipiga ngumu za pua mbili damu mpk damu nilikuwa sijawahi kutolewa damu nikahis kama mfupa wa pua bonyea nikaondoka moja Kwa moja hadi nyumban nikatafuta sehem nikatulia .
 
kuna jamaaa mmoja anasili kama ya kisomali waliamia mtaan kwetu sema jamaa anaongea na pigabeat balaa Kwa tulikuwa hatujawahi Pigana ila jamaaa akawa anionea full kunitania afanya anvyo jisikia yeye Mimi kimya Muda mwngne anakuambia labda lete mpira ukizingua anakupiga
Sasa siku tumeenda Uwanjan kukawa hakuna mpira kwahyo tulio kuwepo tukawa tunapiga story tu , mara jamaa akaota mavi ya mbwa akanirushia na aliyekuwepo wakanipampu nikamka kuzichapa kumbe kajamaA hakana nguvu zote zote nilikapiga sana
Bas toka siku hiyo mm ndo nikaanza kukaonea
 
Nakumbuka kipind nipo form one nilikua sna uongoz wowote

Nilikua n kavulana flan kembamba keupe kias afu kajanja janja sanaa😂🙌

Asa pale school kulikua na utaratibu wa kufanya usafi toilet kwa zamu mi nilikua nagwaya sana zile mambo Kila ikifika zamu yetu mi nilikua nakimbilia class kujificha...

Kumbe kuna liscout flan iv pande la mtu yaani linanilia raman..
Nakumbuka hiyo sku nmetoroka kufanya usafi nkaingia class kujificha kama kawaida mule class kulikua na austadhat mmoja iv nlkuaga namuelewa maisha ndo jamaa likatokeza lkanza kunioji maswali
Kwann sjaenda kufanya usafi

Dah si nikaona nivimbe nidionekane mnyonge mbele ya austadhat wangu e bhana eeeee
Nljikuta nmekura teke moja nipo chini stamaniki vumbi usoni khaa msukya hhhhhh

Dah haya maisha bhna, anyway mrembo alinifuta vumbi na leso yake anayoitumia , baadae jamaa lilifeli form two likarudia darasa nkawa nalo class moja 😂🙌
Karma is real
 
Back
Top Bottom