Umewahi kupigwa/ kupiga/ kumuona mtu akipigwa (kisawa sawa)?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Ilikuwa lini na sababu ilikuwa nini (kama unafahamu)

Aisee ugomvi sio mzuri kiiuiivyo.

Nimekumbuka siku nilipomshuhudia jamaa amepigwa roba anashindwa hata kupumua (kudadadeki)

Afu watu wanamshangilia tu. Ha ha ha ha!

Sijajua chanzo cha ugomvi ni nini. Jamaa alipoachiwa hakua tena na aptait ya kupigana.

Hebu tupe ushuhuda wako wa ugomvi, ngumi, vurumai, mkong'oto, n.k
 
Kuna siku niliona kijana anampiga msichana pale ferry

Yaani alimtwanga na ndio akawa anashindilia na mkungu wa ndizi kichwani ghafla akachukua lifenesi akampigia kichwan nikaona binti ka kakamaa shingo imeinama sa nkataka niingilie sijui gunzi lilitokea wapi likanipita kwa kichwa nilitetemekaaaaa

Kumbe bhana yule binti alikuwa kalewa afu mwizi sijui ni unga ule maana hata husikii yowe na wala haongei

Baadae akaamka mbiooo nkahisi nimeona series sijui.
 
Ha ha ha haaa kupaapake
 
Dahhhh.....
Niliwai kumpa kichapo yule jamaa, adi nikamvunja mkono.
Mwisho niliishia kwenda jela na baada ya kutoka niliapa sinto pigana tena katika maisha yangu hapa duniani, maana niligundua naweza kuja kuua aiseeee
 
Ha ha ha haaa kupaapake
Acha Kbs,,, mpaka kesho sisahau hilo tukio. Wapita njia wengine walikuwa kimyaaa nikajisemea hawa watauana huku tunawaona. Weeeeeee wewe bhana hurumahuruma ningetolewa jicho.
 
Dahhhh.....
Nikiwahi kumpa kichapo yule jamaa, Hadi nikamvunja mkono.
Mwishi niliishia kwenda jela na baada ya kutoka niliapa sinto pigana tena katika maisha yangu hapa duniani, maana nikigundua naweza kuja kuua aiseeee
Chanzo cha ugomvi ilikuaje mkuu... Maana kipigo hicho hupewa watu maalum (wagoni)
 
Acha Kbs,,, mpaka kesho sisahau hilo tukio. Wapita njia wengine walikuwa kimyaaa nikajisemea hawa watauana huku tunawaona. Weeeeeee wewe bhana hurumahuruma ningetolewa jicho.
Ugomvi

Ni kitu cha kuepuka sana kadiri ya uwezo wako wote....
 
Hahaha,tulikuaga tunafanya mazoezi ya kung fu,,
Then kuna siku nikajiona nimefuzu,kwenye kotaz yetu kuna yanki katokea bongodaresalaam,
So nikaamua kununua ugomvi ili kujifanyia assessment,πŸ˜πŸ˜πŸ€—πŸ€—
Aisee nilikula mawashigeli ya taya,,sijakaa sawa nikala roundkick ya shingo,,chini,
Niliponyanyuka kimya kimya nikaongoza njia kwenda home,
 
[emoji3][emoji3] kumbe ulikuwa unapigana na sensei.... Ha ha ha
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwa hiyo kujua kurusha ngumi kwa step ukajiona mwamba Sana?
 
Angekupa na Yokogeri ya koromeo ufe kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chanzo cha ugomvi ilikuaje mkuu... Maana kipigo hicho hupewa watu maalum (wagoni)
Haiku husuana na pesa wala mapenzi, yule jamaa alimwaga pombe yangu na mimi nikaona amenidharau sana.
Then niliondoka tulipokua nae, na kisha nikasogea jirani kidogo tofauti na pale mwanzo.....
Alicho kosea zaidi ni kuona nimemuogopa na akadhania mimi ni mnyonge na akanifuata nilipo huku akitema mbovu, sasa hapo mimi sikuona ubaya akinitukan bali nilikumbuka tu alivyo mwaga pombe yangu aiseeee... Jamaa nilimfua hadi akapata kiu kabla sijamuwekea alama ya milele.
 
Ha ha ha ha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kudadeki maana yake ni nini?
 
Dahhhh.....
Niliwai kumpa kichapo yule jamaa, adi nikamvunja mkono.
Mwisho niliishia kwenda jela na baada ya kutoka niliapa sinto pigana tena katika maisha yangu hapa duniani, maana niligundua naweza kuja kuua aiseeee
Uko jela walikuacha salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…