mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Ilikuwa lini na sababu ilikuwa nini (kama unafahamu)
Aisee ugomvi sio mzuri kiiuiivyo.
Nimekumbuka siku nilipomshuhudia jamaa amepigwa roba anashindwa hata kupumua (kudadadeki)
Afu watu wanamshangilia tu. Ha ha ha ha!
Sijajua chanzo cha ugomvi ni nini. Jamaa alipoachiwa hakua tena na aptait ya kupigana.
Hebu tupe ushuhuda wako wa ugomvi, ngumi, vurumai, mkong'oto, n.k