Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

Dah umenichekesha tumbili wewe,ni mimi ndio nilikukimbiza usiku ule,dah jamaa unasepa kama treni ya umeme
 
Afu sikuwa na simu wala nini zaidi ya 3000 ya chips yai na soda, kwahiyo utam tuu ndio nilikuwa nao... lakini hawakunigusa zaidi ya ngwara na wao wakakimbia kama wameona simba,daah!!!
Kwangu ungetoa tu huo utam nikikuonyeshea likisu likubwa nakukuambia ukipiga kelele tu namwaga utumbo mbona ungesema tu "yote kheri baba chukua yote yako"πŸ˜‚
 
Hahaha we jamaa una majaribu sana,umekabwa ukarudi tena kunywa bia na ukahesabu hela wakiwa wanakuona
 
Konyo sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Jiite ata sky sungusungu/mgambo
 
🀣 Your not serious Kama watu tu mnaogopa maiti kifo je..??
Alooo kifo habari nyengine na siwezi kuruhusu ufe nakukula tu mi sio muuwaji bali mbakaji..πŸ˜‰πŸ˜
Yaaani wewe ni baka baka kabisaaa😝
 
Hyo ndo kanuni muhim tena kama njia unayopita kuna wahun mbele vua kabisa shat weka begani tembea kwa kutuna uku ukijiongelea kwa nguvu kibabe Zaidi tena mwendo nao tembea wa kibaharia na ukipita Kwny kona usijitokeze mzimamzima ikibidi inamisha kichwa kidogo alaf pita apo unaweza kwepa roba ya Koo.
 
Yaaani wewe ni baka baka kabisaaa😝
Mi ni kibaka ninaekushawishi kabisa nakuambia kifo ni kibaya nikikuuwa sahivi na haujatubu utakuwa umefanya nini sasa!! Yani ufe kwa mateso halafu uende mbinguni hata ujakaa vizuri unaambiwa nenda kule kunakovuka Moshi..πŸ˜‚
Haya unakufa halafu unamalengo hujatimiza! Kuna watu wanahitaji fahari ya uwepo wako bado Kuna malengo ulitaka uwatimizie!. Hata kabla sijaendelea ushavua na Pichu na umeshaloa unasema tu "taratibu Sasa"..🀣🀣
 
Na mimi niseme

ilikua siku kuu ya eid kama juzi, around mida ya alasir nikaenda peke yangu fukwe furani basi nikapunga upepo na kushangaa shangaa kando kando ya fukwe

Along the way nikakuta na mdada tukanza kupiga story mbili tatu na kuchezea maji akanizoea na hadi akanipa begi na simu nimshikie, Haikuchukua muda Polisi wakaanza kutawanya watu pale tukasepa mdogo mdogo hao hao na ice cream zetu mkononi,

Tukafika sehem bado maeneo yale ya beach tuka kaa na kula story tena ilikua ni pemben tuu ya barabara watu wanapita wengi tuu, badala ya kusimama na kusepa sisi tumesimama na tukaeendelea kupiga soga na kucheka cheka pale

Wakat giza imeingia, Hapo watu wamepungua sana gafla nikaona watu wawili wanakuja kwetu haraka haraka, kumbe walikua vibaka wakanivamia mimi mmoja akatoa kijipanga kidogo dogo akanikwida t-shirt kwenye purukushani nikaanguka chini nika ikalia ile simu ya yule mdada yang wakasepa nayo ilikua mfuko wa mbele na lile begi la yule mdada wakachukua mule kulikua na vitenge, dawa na vitu vingine vidogo

Hatua kadhaa kama mita 10 muda ule kulikua na wamasai (walinzi) wanatembea wanakuja tulipo sisi na wale vibaka walipishana nao, wamasai walipofika na wakatuuliza maana there was unrest situation pale yule dada alikua analia, nikawaambia rafiki hapa tumeibiwa mmoja akasema kuna jamaa wamepita na begi wanakimbia nikiwaambia ndio hao hao wakaniambia si mngepiga makelele tungewakamata wale.

Wale masai wakajaribu kuangalia huku na huku hawakuona dalili ya vibaka wale kubakia maeneo yale.

Tukaagan na masai tukaondoka pale lakini yule mdada alikua kachoka kweli na kunyong'onyea, tukaenda kula and after some time tukasahau majanga na nikamsindikiza mpaka jirani na anapoishi hapo around Saa nne usiku
 
We jamaa comedian
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…