Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hiyo ni kweli tupu,wallah wangenifaragua nadhani nisingekuwa hai...😂Kuna kitu hukutoa kweli wewe..😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kweli tupu,wallah wangenifaragua nadhani nisingekuwa hai...😂Kuna kitu hukutoa kweli wewe..😂
Mkuu sio mimi Kuna mtu humu ndo alisimulia..😂wewe ni fala sanaaa hahaaaaaaa
Ningalikuwa Mimi pesa zako ningelikuachia simu baki nayo tu ila uchi sasa!..🤣🤣Hiyo ni kweli tupu,wallah wangenifaragua nadhani nisingekuwa hai...😂
Afu sikuwa na simu wala nini zaidi ya 3000 ya chips yai na soda, kwahiyo utam tuu ndio nilikuwa nao... lakini hawakunigusa zaidi ya ngwara na wao wakakimbia kama wameona simba,daah!!!Ningalikuwa Mimi pesa zako ningelikuachia simu baki nayo tu ila uchi sasa!..🤣🤣
Dah umenichekesha tumbili wewe,ni mimi ndio nilikukimbiza usiku ule,dah jamaa unasepa kama treni ya umemeNakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.
Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna njemba hata sijui ilikotokea, kwa hatua za kiusalama akili ilifunguka nikaongeza mwendo ila nikienda kushoto nae anakuja kushoto nikienda kulia nae ni kulia anakuja kwa kuongeza mwendo, mara mbele yangu akatokea mwengine kama anataka anizibe flani hivi.
Nilitoka mbio, sikuruhusu kuwa ndani ya 18 zao maana kwa stori tulizokuwa tukiskia ni kwamba wale vijana ni hatari tupu, nlijidai kama nmesimama flani hivi, akilini nikawa nachora ramani nikimbilie wapi, basi ile nakariba kuwa ndani ya 18 nlitoka spidi nadhani ile siku ndio nlikimbia tangu nizaliwe, wakati nataka nianze kukimbia moja wao alinipiga na kitu kama ubao, nilivyofika geto nilikuwa na kanundu kwa mbali, walinifukuza kidogo ila kwa mbio nilizotoka naona walisanda huku wakinisindikiza na matusi mazito ila nashukuru niliwakwepa.
Ile ngwara ilinipa kidonda kwenye goti kilichofanya likizo nirudi home nikiwa nimekaa siti ya kwanza kabisa kwenye shabiby ili nipate kuunyoosha mguu...hiyo ni ngwara tuu mzee baba😂Mkuu umeelezea kwa ufupi sana. Ikikupendeza ongeza nyama.
Kwangu ungetoa tu huo utam nikikuonyeshea likisu likubwa nakukuambia ukipiga kelele tu namwaga utumbo mbona ungesema tu "yote kheri baba chukua yote yako"😂Afu sikuwa na simu wala nini zaidi ya 3000 ya chips yai na soda, kwahiyo utam tuu ndio nilikuwa nao... lakini hawakunigusa zaidi ya ngwara na wao wakakimbia kama wameona simba,daah!!!
Nia yako aseme alikuta ute wa yai. USISEME komea hano hano muraahMkuu umeelezea kwa ufupi sana. Ikikupendeza ongeza nyama.
Hahaha we jamaa una majaribu sana,umekabwa ukarudi tena kunywa bia na ukahesabu hela wakiwa wanakuonaMwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
Konyo sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
Aah weeee bora kufa asee chaaa 😜😂Kwangu ungetoa tu huo utam nikikuonyeshea likisu likubwa nakukuambia ukipiga kelele tu namwaga utumbo mbona ungesema tu "yote kheri baba chukua yote yako"😂
🤣 Your not serious Kama watu tu mnaogopa maiti kifo je..??Aah weeee bora kufa asee chaaa 😜😂
😂😂Jiite ata sky sungusungu/mgamboNakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.
Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna njemba hata sijui ilikotokea, kwa hatua za kiusalama akili ilifunguka nikaongeza mwendo ila nikienda kushoto nae anakuja kushoto nikienda kulia nae ni kulia anakuja kwa kuongeza mwendo, mara mbele yangu akatokea mwengine kama anataka anizibe flani hivi.
Nilitoka mbio, sikuruhusu kuwa ndani ya 18 zao maana kwa stori tulizokuwa tukiskia ni kwamba wale vijana ni hatari tupu, nlijidai kama nmesimama flani hivi, akilini nikawa nachora ramani nikimbilie wapi, basi ile nakariba kuwa ndani ya 18 nlitoka spidi nadhani ile siku ndio nlikimbia tangu nizaliwe, wakati nataka nianze kukimbia moja wao alinipiga na kitu kama ubao, nilivyofika geto nilikuwa na kanundu kwa mbali, walinifukuza kidogo ila kwa mbio nilizotoka naona walisanda huku wakinisindikiza na matusi mazito ila nashukuru niliwakwepa.
Yaaani wewe ni baka baka kabisaaa😝🤣 Your not serious Kama watu tu mnaogopa maiti kifo je..??
Alooo kifo habari nyengine na siwezi kuruhusu ufe nakukula tu mi sio muuwaji bali mbakaji..😉😁
Hyo ndo kanuni muhim tena kama njia unayopita kuna wahun mbele vua kabisa shat weka begani tembea kwa kutuna uku ukijiongelea kwa nguvu kibabe Zaidi tena mwendo nao tembea wa kibaharia na ukipita Kwny kona usijitokeze mzimamzima ikibidi inamisha kichwa kidogo alaf pita apo unaweza kwepa roba ya Koo.Kanuni zangu za kutembea usiku
1.kutembea kama mm ndo mwizi.....yaan ukikutana na mm nahakikishaww ndo unahama barabara kunihofia
2.kutembea bila vitu vya thaman au pesa ndefu
3.kuvaa viatu vitakavyonisaidia kufunguka (kukimbia ) pale mambo yatakapokuwa siyo mambo
Mi ni kibaka ninaekushawishi kabisa nakuambia kifo ni kibaya nikikuuwa sahivi na haujatubu utakuwa umefanya nini sasa!! Yani ufe kwa mateso halafu uende mbinguni hata ujakaa vizuri unaambiwa nenda kule kunakovuka Moshi..😂Yaaani wewe ni baka baka kabisaaa😝
Hapo ukaona uokoke kabisa, maana sio kwa bahati hiyo..😂😂Afu sikuwa na simu wala nini zaidi ya 3000 ya chips yai na soda, kwahiyo utam tuu ndio nilikuwa nao... lakini hawakunigusa zaidi ya ngwara na wao wakakimbia kama wameona simba,daah!!!
We jamaa comedianMwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.
Ile nimelaza bia zangu nikaona pale kituoni Kuna watu Kama watano hivi. Nikaona na Mimi niungane nao tusubiri daladala. Kumbe wote vibaka. Aisee ilenafika kituoni sekunde nyingi nilijikuta nimelimwa mtama Niko chini Sina simu na mituko yoye iko nje.
Kipindi kile surualizilikuana mifuko ya Siri. Hivyo hakiba yangu nyingi hawakuiona. Baada ya kunipora huku mmoja amenikaba Koo wakaondoka. Nilivyo cheki hakiba yangu ipo nilirudi Tena Rambo na kuagiza beer nikiwa pale nje. Na wenyewe baadae walirudi kituoni wakaniona na gida bia. Naona Sasa walijiandaa kikamilifu. Nami nilitoa pesa na kuzihesabu nikiwa pale nje kwenye taa wazione Kisha nikaingia kwenye taxi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka 2004 natoka zangu mjini kuelekea home. Mjini daladala zikawa hakuna, bahati nikapata la Mabibo nikajisemea kimoyomoyo, ngoja nipande hili nitaunganisha Manzese la Kimara. Kufika manzese nikaona nikashukie CCM Kona ya Mabibo. Ile nashuka nikaona nipate bia mbili pale Rambo bar, wengi mtaikumbuka ilikua na Malaya wengii. Basi bwana nikapata siti pale nje na kuahiza safari ya baridi huku nikivizia daladala za Kimara. Nikipata bia za kutosha na simu yangu ya sony mlio polyphonic.