Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Mkuu bado hujamaliza kunywa maji?? Tunakusubiri umalizie huku
 
😂😂😂
Machozi yalimlenga lenga sio

Dah
 
Nilimwangaikia demu Kila aina ya mistari Anagoma Mwisho wa Siku anakubali na Kwenda naye Gest Kipindi nampiga bao la kwanza demu ataki kubambiwa , Natafuta cha pili Demu kumkumbatia Hataki, Nilipiga cha Mwisho nikalala Kuamka nikacheki Simuoni Demu,Kucheki mfukoni Sioni 30k

Kesho yake nikamuona Demu Nikamwambia vipi inaweza hiyo Leo Demu akasema sawa Nilienda kuipiga ata sikumuuliza pesa ,Siku hiyo alinipa yote Aliride Baiskeli mwenyewe .
Hiyo ndio ilikuwa minyambuo yangu kila nikimuhitaji nakura.
Mwisho wa Siku nikagundua alikuwa na Msela tokea mwanzo alinifata msela akanambia,ata Sikueewa niliendeleza adi Alipoondokaga kwenda kwa Mama yake mdogo,akija Minyambuo ,Sasa alishaolewa na Msela Yule alakini Bado ananitaka hadi sasa Sijui niendeleze.
 
Dah
 
Chai ndo maana hujamaliza
 
Hapa we ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…