Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Hili tukio nilipigwa ni kama Karma;

Kuna manzi alikua mrembo sana, typical chuga girl. Mara nyingi akiongea utasikia maneno kama "huyu chalii anazingua" au "fata mambo yako eroo" na swaga zingine zinazofanana na hizo.

Mzuri kweli kweli ila sasa ukiwa unaongea naye kuna mzuka fulani unapotea kwenye maongezi maana usela wake umezidi mpaka unahisi kama anajifanyisha!

Basi bhana,

Huyu binti tulikua naye course moja wakati ule. Kutokana na nature ya course yetu wanaume walikuwa wengi sana kuzidi wanawake. Na hata hao wanawake wachache waliopo, wengi walikua wagumu kasoro yeye tu ndio alikua mng'ao.

Macho yakawa mengi sana kwake, hadi washikaji zangu wa karibu wakawa wanapambania kombe. Kati yao kuna mmoja alimuelewa sana, ile kumuelewa manzi kiasi cha kuwaza kumuoa kabisa kama akikubali. Na huyo mshikaji alikua room'ate wangu kwaiyo mara nyingi alikua ananiambia anachomuwazia bibie. Na alikua free kwa sababu mimi sikuwahi kuonesha interests yoyote kwa yule binti. So hakuniona kama competitor!

Sasa kwa sababu wapambanaji ni wengi, yule manzi akaanza kuwa na kiburi; ile kuwa na "ego" au "arrogant" kama mnavyosema wasomi! Kwaiyo akawa kama amechoka ku play a "good girl" character kwenye movie ya wahuni maana wakiambiwa vizuri hawaelewi wao ni kukomaa tu. Ikafika hatua ukisogeza pua anakukatia kipande cha maneno mabovu utayachambua mwenyewe mbele ya safari (niligundua hili wakati tunapiga story za hapa na pale na masela huku tukichekana siku zinasonga).

Nilikuja kupangiwa naye group moja la majadiliano baada ya vipindi. Sasa kwa sababu najua hali ilivyo kuhusu yule binti, basi muda wote ambao tulikua karibu, mimi nikawa nakaa kwenye mada husika tu, siendi nje wala sisogei pembeni. Akaamua kunikatia jina fulani tuseme "A Serious Guy". Akahitaji niwe na contacts zake kwa ajili ya updates muhimu, na mimi nikawa nazo!

Shetani ndiye aliyeleta akili za kutengeneza simu ili aondoke hadi na wale wenye aibu ya kutenda dhambi hadharani; kila siku nawambia hizo simu mkae nazo makini hamsikii, shauri yenu!

Mada za mwanzo kwenye simu zilikua on-point lakini mdogo mdogo zikaanza kupinda. Mara movie fulani, mara nyimbo fulani, mara nilikuona maeneo yale, mara nilikuona huku, mara unafanya nini saivi, mara njoo tule, mambo yakaanza kuwa mengi. Nikaanza hadi kujua akiumwa, akimeza dawa, na akipona. Sasa wakati haya yanaendelea jamaa yangu yeye hajui. Ila yeye daily anani update amemnunulia sijui zawadi gani ya birthday ili amshawishi watoke out na mambo mengine kibao, mimi kazi yangu ni kuitikia tu na kumtia moyo one day yes!

Sasa mambo ya kwenye simu yalivyozidi kuchachamaa, na mimi nikaanza kumuwazia anayowaziwa na wengine. Au sio bhana? Kwani kuna ubaya gani na mimi mporipori nikilamba asali? Hapo ameshaanza kunitumia na vi picha vyake vizuri vizuri. Moyo huu usukume damu tu. Nikaanza kukolea na yeye akanizamisha mazima!

Route za kumtembelea kimya kimya mida ya usiku zikaanza. Najificha ficha nisije nikaonekana. Sijui warembo wanakua"ga na shida gani na typical shamba boys, they always got s'thing for them! Kumtembelea kukanoga, nikawa sipati usingizi mzuri nisipomuona usiku hata kama nimeshaonana naye mchana.

U busy wa safari za usiku ulivyozidi, jamaa yangu akaanza kuwa suspicious (kama machale yakaanza kumcheza). Nadhani labda kwa sababu dots zake zilikua haziungi vizuri. Akiniuliza kuhusu manzi (kwa sababu anajua tupo kundi moja) namjibu tu anaendelea poa. Akiniomba nichunguze kama kuna mshikaji yupo na manzi tayari ndio maana yeye anapotezewa nampa tu matumaini kuwa manzi bado hana mtu. Dah, kumbe pale uzi wake unapokatika ndipo uzi wangu unaungia hapo. Penzi ni kama bangi ukivuta tu lazima harufu yake ikuumbue, sikuchukua round, bulalifuu.

Mwamba nimechanga karata zangu vizuri najiamini, najua kila kitu kipo sawa hakuna kusanukiwa wala nini. Mara ghafla nashangaa siku moja na.amshwa ahsubui napewa hongera na room'ate wangu yule. Namuuliza "Ya nini tena?". Kumbe manzi kani post huko facebook kaniita "secret admire". .. aiseeee

Jamaa ananiongelesha huku machozi yanamlenga lenga.

"Mwanangu siku zote tunakaa wote hapa nakueleza mambo yangu kumbe unanizunguka?"

Kastori ni karefu kidogo, ngoja ninywe maji, narudi kumalizia...
Mkuu bado hujamaliza kunywa maji?? Tunakusubiri umalizie huku
 
😂😂😂
Machozi yalimlenga lenga sio

Dah
 
1. Mimi miaka kadhaa nyuma kuna dem nilimuahidi akija geto nitampa 20k, si akajichanganya akaja geto nikala mzigo fresh baade kataka ile hela nikamwambia sina nitakupa siku nyingine. Basi tukalala, ile naamka asubuhi demu hayupo, nikagundua kumbe kaondoka na kisado cha dagaa nyama, nilihis ganz mwil mzima.

2. Hii iliniuma sana, mwaka 2018 nilipata toto flan hiv la kimbulu, full msambwanda. Si nikajichanganya nikataka kabisa kumtia mimba na akahitaj nikamtambulishe mpk nikaanza kuwaletea nyodo madem zangu wawili kwa kujiona nimepata kifaa!

Ndani ya miezi miwil nikaja kugundua huyu dem wa kimbulu kumbe ni dem wa mtu tena mbavu nene! Kwahy leo yupo kwangu kesho kwa jamaa, aseh niliishiwa pozi! Siku tunakutana na jamaa tukajuana tunakula sehem moja, ila mwisho wa siku dem ndio alimkana jamaa tukiwa wote watatu ila mm sikueza tena kuwa serious kwa dem. Hii kitu iliniuma sana, badae huyu manz akadai ana mimba hapo ndio kimbembe kilipotokea[emoji23].5

3. Hii ndio mpk leo siwezi kusahau, mwaka 2016 napigiwa cm na mzee wangu saa 12 alfajir kuwa natakiwa niripot kambini makutupora Dodoma, huku nyuma nina dem wang ana mimba ya miez 5. Nikajianda nikadandia bus mpk dom.

Nikafika kambin lkn huku akili yangu ipo kwa dem niliemtia mimba, kufupisha nikatoroka kambin nikarud mkoani usiku wa manane. Matokeo yake kwao walivyogundua binti yao mjamzito alaf anatakiwa aende chuo wakaichomoa mimba.

Hii kitu iliniuma sana na mapenz yakaisha hapo hapo japo niliendelea kumla mpk nilipokuja kumuacha 2019 baad ya kuamua kumuambia ukwel kuwa sina mapenz nae (huenda leo ningekuw soja [emoji22]).

Je, ww ulishawah kupambana na mkasa upi uliokugusa katika mapenz?
Nilimwangaikia demu Kila aina ya mistari Anagoma Mwisho wa Siku anakubali na Kwenda naye Gest Kipindi nampiga bao la kwanza demu ataki kubambiwa , Natafuta cha pili Demu kumkumbatia Hataki, Nilipiga cha Mwisho nikalala Kuamka nikacheki Simuoni Demu,Kucheki mfukoni Sioni 30k

Kesho yake nikamuona Demu Nikamwambia vipi inaweza hiyo Leo Demu akasema sawa Nilienda kuipiga ata sikumuuliza pesa ,Siku hiyo alinipa yote Aliride Baiskeli mwenyewe .
Hiyo ndio ilikuwa minyambuo yangu kila nikimuhitaji nakura.
Mwisho wa Siku nikagundua alikuwa na Msela tokea mwanzo alinifata msela akanambia,ata Sikueewa niliendeleza adi Alipoondokaga kwenda kwa Mama yake mdogo,akija Minyambuo ,Sasa alishaolewa na Msela Yule alakini Bado ananitaka hadi sasa Sijui niendeleze.
 
Mwaka 2007 mitaa ya Tomondo, Unguja nimetulia ghetto nikamuita Mamu mtoto wa Pwani aje nimshungulikie, ilikua mwezi wa ramadhani nikamwambia ntamla usiku baada ya kuftari. Mamu alifika usiku ghetto nikamvua chupi nikala papa safi saa 11 alfajiri nikaoga nikala daku nikalala kulivyo kucha Mam akaomba shuka zangu za 8/8 akafue nikaona mwana nimepata wife material. Toka alivyotokomea nayo mpaka leo sijawahi kuyaona tena mashuka yangu makali ya mtumba.. Mwingine dent wa Chuo Cha Mwalimu Nyerere nilianza naye kitambo Tabora tukaja kukutana Dar nikamribisha Ghetto nikala papa nikaenda kazini kurudi nakuta kapita na jagi la kuchemshia maji.. dah Wanawake wezi sana
Dah
 
Hili tukio nilipigwa ni kama Karma;

Kuna manzi alikua mrembo sana, typical chuga girl. Mara nyingi akiongea utasikia maneno kama "huyu chalii anazingua" au "fata mambo yako eroo" na swaga zingine zinazofanana na hizo.

Mzuri kweli kweli ila sasa ukiwa unaongea naye kuna mzuka fulani unapotea kwenye maongezi maana usela wake umezidi mpaka unahisi kama anajifanyisha!

Basi bhana,

Huyu binti tulikua naye course moja wakati ule. Kutokana na nature ya course yetu wanaume walikuwa wengi sana kuzidi wanawake. Na hata hao wanawake wachache waliopo, wengi walikua wagumu kasoro yeye tu ndio alikua mng'ao.

Macho yakawa mengi sana kwake, hadi washikaji zangu wa karibu wakawa wanapambania kombe. Kati yao kuna mmoja alimuelewa sana, ile kumuelewa manzi kiasi cha kuwaza kumuoa kabisa kama akikubali. Na huyo mshikaji alikua room'ate wangu kwaiyo mara nyingi alikua ananiambia anachomuwazia bibie. Na alikua free kwa sababu mimi sikuwahi kuonesha interests yoyote kwa yule binti. So hakuniona kama competitor!

Sasa kwa sababu wapambanaji ni wengi, yule manzi akaanza kuwa na kiburi; ile kuwa na "ego" au "arrogant" kama mnavyosema wasomi! Kwaiyo akawa kama amechoka ku play a "good girl" character kwenye movie ya wahuni maana wakiambiwa vizuri hawaelewi wao ni kukomaa tu. Ikafika hatua ukisogeza pua anakukatia kipande cha maneno mabovu utayachambua mwenyewe mbele ya safari (niligundua hili wakati tunapiga story za hapa na pale na masela huku tukichekana siku zinasonga).

Nilikuja kupangiwa naye group moja la majadiliano baada ya vipindi. Sasa kwa sababu najua hali ilivyo kuhusu yule binti, basi muda wote ambao tulikua karibu, mimi nikawa nakaa kwenye mada husika tu, siendi nje wala sisogei pembeni. Akaamua kunikatia jina fulani tuseme "A Serious Guy". Akahitaji niwe na contacts zake kwa ajili ya updates muhimu, na mimi nikawa nazo!

Shetani ndiye aliyeleta akili za kutengeneza simu ili aondoke hadi na wale wenye aibu ya kutenda dhambi hadharani; kila siku nawambia hizo simu mkae nazo makini hamsikii, shauri yenu!

Mada za mwanzo kwenye simu zilikua on-point lakini mdogo mdogo zikaanza kupinda. Mara movie fulani, mara nyimbo fulani, mara nilikuona maeneo yale, mara nilikuona huku, mara unafanya nini saivi, mara njoo tule, mambo yakaanza kuwa mengi. Nikaanza hadi kujua akiumwa, akimeza dawa, na akipona. Sasa wakati haya yanaendelea jamaa yangu yeye hajui. Ila yeye daily anani update amemnunulia sijui zawadi gani ya birthday ili amshawishi watoke out na mambo mengine kibao, mimi kazi yangu ni kuitikia tu na kumtia moyo one day yes!

Sasa mambo ya kwenye simu yalivyozidi kuchachamaa, na mimi nikaanza kumuwazia anayowaziwa na wengine. Au sio bhana? Kwani kuna ubaya gani na mimi mporipori nikilamba asali? Hapo ameshaanza kunitumia na vi picha vyake vizuri vizuri. Moyo huu usukume damu tu. Nikaanza kukolea na yeye akanizamisha mazima!

Route za kumtembelea kimya kimya mida ya usiku zikaanza. Najificha ficha nisije nikaonekana. Sijui warembo wanakua"ga na shida gani na typical shamba boys, they always got s'thing for them! Kumtembelea kukanoga, nikawa sipati usingizi mzuri nisipomuona usiku hata kama nimeshaonana naye mchana.

U busy wa safari za usiku ulivyozidi, jamaa yangu akaanza kuwa suspicious (kama machale yakaanza kumcheza). Nadhani labda kwa sababu dots zake zilikua haziungi vizuri. Akiniuliza kuhusu manzi (kwa sababu anajua tupo kundi moja) namjibu tu anaendelea poa. Akiniomba nichunguze kama kuna mshikaji yupo na manzi tayari ndio maana yeye anapotezewa nampa tu matumaini kuwa manzi bado hana mtu. Dah, kumbe pale uzi wake unapokatika ndipo uzi wangu unaungia hapo. Penzi ni kama bangi ukivuta tu lazima harufu yake ikuumbue, sikuchukua round, bulalifuu.

Mwamba nimechanga karata zangu vizuri najiamini, najua kila kitu kipo sawa hakuna kusanukiwa wala nini. Mara ghafla nashangaa siku moja na.amshwa ahsubui napewa hongera na room'ate wangu yule. Namuuliza "Ya nini tena?". Kumbe manzi kani post huko facebook kaniita "secret admire". .. aiseeee

Jamaa ananiongelesha huku machozi yanamlenga lenga.

"Mwanangu siku zote tunakaa wote hapa nakueleza mambo yangu kumbe unanizunguka?"

Kastori ni karefu kidogo, ngoja ninywe maji, narudi kumalizia...
Chai ndo maana hujamaliza
 
Mi sijawahi kupigwa tukio ila niliwapiga tukio mbwa wawili.

Mmoja ni mhaya sjui mnyarwanda shingo kama shock absober ulijitia mjanja ulidhani utantumia eeh mxiew ndo maana nlikupiga matukio na kalenda juu mbwiga wee[emoji23] na nikakuacha peupe mfyuu yani ukose vishimo vyote uje ujaribu cha kwangu. Ni miaka kumi imepita ila najiona mjanja bado nilikuweza hamna utelezi wa bure punda we na najua utapita kusoma hapa sikupendi hata kwa kidonge

Wa pili ni mbuzi ya malawi kichwa kama tunda la ubuyu, bora nlikunyima utelezi jina lako linaanzia na A kokote ulipo tumbo likusokote haliwi boya kijinga jinga. Na hirizi yako ile.

Mijanaume inayojitiaga mijanja ndo naipenda nakuchapa tukio unajivua cheo mwenyewe. Af mkinyimwaga utelezi mnakuaga kama ng’ombe alieona mjamzito[emoji23][emoji23][emoji23] ah kukua raha sana saizi nikiwakumbuka nawacheka
Hapa we ndio tatizo
 
Back
Top Bottom