Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Mwaka 2021 katika harakati za kusaka maisha nilikwenda kijiji flani kinaitwa mlanzi wilaya ya kibiti!kununua mapapai shamba!nimekaa siku tatu nakusanya mzigo siku ya nne nikaona nitafute mtoto wa kindengereko nimtembezee moto,tukaelewana bei na kweli usiku demu akaibuka guest niliyokuwa nimefikia panaitwa kwa bora!demu kufika nikamshawishi anywe hata bia 2!mwanzo akagoma ila mwisho akakubali.
Akanywa safari ya kwanza ikaisha,nikamfungulia ya pili,wakati ipo nusu akaenda chooni,chumba kilikuwa hakina choo ndani,alipoenda chooni nikamchanganyia na k vant bia yake lengo ni azime nijipigie hata vitano usiku ule maana tulikuwa tumekubaliana vitatu.
Sasa aliporudi akanywa mpaka ikaisha,ile naanza romance tu ghafla akabadilika akaanza kutoa misauti ya ajabu ajabu,kumbe demu ana majini,kabla sijajua nifanyaje ghafla akanikamata akaanza kunitia makofi ya uso tena alikua analenga puani!
Ndani ya dk.2 hivi nilichezea mabanzi kama 100,nilitoka nduki kimya kimya!
Sikurudi tena mle room nikaenda kulala ktk gari

mzee ungeuliwa unanywesha kiti ya watu k vant
 
Vitabu vitatu

Uchumi/utajiri
Biashara
Umasikini

Mwafrika alikua wakwanza kwenda kuchagua ,ghafla akakumbuka hakumwaga mkewe ,akaaga anakuja ,akajikutia kitabu Cha umasikini kimebakia
Nenda jukwaa la uchumi na usirudi tena hapa MMU

HIvi huwa hamuelewi mpo jukwaa gani?
 
Maisha ya mapenzi ni upuuzi sana

Nliwahi kumfukuzia nesi mmoja hivi kwa kipindi kirefu tu...
Mwisho wa siku nkafanikiwa kuwa nae,
Ana maendeleo mazuri kiasi kua amejenga nyumba yake ndogo ya kuishi..
Penzi lilikua lamoto ni balaa, nkitoka tu kazini huyu hapa geto,atakaa atalala hadi achoke..anaondoka kurudi kwake..

Baada ya mwezi hivi, anatoka kazini ananipigia simu anasema
“Kelphin baba n... amekuja, hajaniambia ... hivi hapa nmekuta mabegi amewekeza nyumba ya jirani!

Nkajibu tu haya sawa...sikujibu wala kupokea simu yake tena baada ya hapo
Kesho yake kutwa nzima sikupokea/jibu msg..
Mama yake na huyu nurse tulikua tunakaa mtaa mmoja,mazoea ya binti ni kuja kwa mama yake mala kwa mala sababu ni jirani kwake
Hivyo akipota nkiwa nipo lazima atakuta gate/dirisha vipo wazi....ila sms wala simu sipokei.

Kufika mida ya tano hivi usiku uvumilivu ukamshinda...akabeba masindano na zile groves nyeupe akaaga anaenda kumpiga mtu sindano kapata dhalula

Kafika home kafungua mlango bila hodi vuuup ndani...kavua gauni kalitupa chini kaja kitandani..me namuangalia tu chakumuambia sina ...
“Mbona hupokei wala hujibu msg zangu!?” Ilikua swali lake lakwanza ...nkamwambia sielewi nini nkujibu...akawa kama analia hivi (kilio cha uwongo) me namtazama tu

Akawa ile like ananishika akijua lazima ntamtaman tu sex...hapo kabaki nude kabisa..
Nkamwambia wew nenda me nko pow tu...na kitabasamu cha uwongo uwongo...ili anyanyuke...ila wapii haelewi

Alikaa kama 40minutes akaenda kwake...me nkalala zangu

#singleM....
Malizia kisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo wa kwanza anafaa kuolewa kabisa. Kajiongeza, akose pesa hata chakula akose pia. Hakuna kugongwa kwa mkopo😀😀😀.

Enzi za utoto nilikuwa na kidemu cha kimanga cha mtaani wenyewe tunadanganyana tutaoana. Kwa vile alikuwa geti kali na mambo ya simu hakuna, mawasiliano mengi tulikuwa tunafanya kupitia kwa binamu yake wa kiume ambae anaishi kwao.
Ilikuwa nikipata vizawadi nampa shemeji binamu apeleke. Na saa nyingine msela anakuja kudai katumwa aje aombe pesa kwangu, na mimi natoa.

Ilikuwa nasoma shule ya bweni. Niliporudi likizo kipindi nipo kidato cha 4 nikasikia demu kaolewa. Ikabidi nimtafute shemeji binamu aniambie vizuri nakuja gundua kumbe ndio mume mwenyewe aliemuoa demu wangu. Walikuwa wanapigana miti ndani mwao humo mpaka kuja kufumwa na kuozeshwa na wazazi wao.
Halafu jamaa lilivyokuwa kauzu linaniambia kama kuna ujumbe au zawadi yeyote niendelee kumpa ampelekee mkewe ambae ni demu wangu.
Na demu ilikuwa nikikutana nae baada ya hapo ananiambia bado mimi ni mpenzi wake. Tuliendelea kupigana miti kwa kuiba iba mpaka walipohamia Zanzibar na mumewe binamu.

Mpaka leo hii demu yeyote akiniambia mambo ya 'cousin' wa jinsia tofauti na uhusiano unaishia hapo hapo.
🤣🤣 nmecheka kama fala
 
Aliniambia ana mimba ya jamaa mwingine nikakubali ila akawa hataki tuonane nikabembeleza sana lakini ikashindikana kukutana(sikuwa namanisha) Hii ilichangiwa pia na ubusy wangu, free time ilikua kuanzia saa 5 usiku, ikapita miezi 6 akawa na uhitaji wa hela, nikajisemea yes hatimae amekuja napopataka. Akawa anasema nimtumie au anatuma boda aje aichukue nikamkatalia, kauli yangu ilikua ni aje achukue mwenyewe kama haiwezekani basi! Akalalama mwisho wa siku akaniambia ukirudi nijulishe.

Nimerudi nikamjulisha, akaja kweli kumcheki kitumbo kipo kipo, katika 1 na 2 nikamshika uno, akaanza kusema ni vibaya kufanya na hali yake, nikamjaza maneno matam hao tukafanya yetu, katikati ya mchezo naona mara kitumbo kinajaa na kupungua(alishindwa kuhimili hilo nikamwambia aache kujaza kitumbo asijejinyea bure), nikamwambia asante kwa kuniongopea na hela mimi sina(niliongea tu hela nilishasema nampa na vijizawadi vingine nilimpa tu alivyofika). Tukalala akiwa amenuna sana, sikujali.

Kumekucha sioni mtu ameshaondoka, kucheki vizuri sioni pasi, frampeni na jagi la kuchemshia maji.
Nimekutana nae mwaka jana alikiri kuvichukua, tukapasha kiporo now ni rafiki
Kuna wanawake wamedata😄
 
Alinambia anatoka chuo sa 12 anaenda hostel kulala ataamka saa moja kasoro, tukakubaliana huo muda ntaenda kumchukua tukale then aje kulala geto.

muda ulipokaribia nikafika nyuma ya hostel zao kuna kama ukuta upo nusu couple zimesimama kwenye kigiza as usual maana zile ni hostel za madem wahuni wapo kazini, napiga simu haipokelewi sms hazijibiwi nikajipa moyo huyu atakua amelala, saa mbili ikakatika sim hazijibiwi, saa tatu ikafika naona kuna couple niliikuta nikawapita nikaenda kukaa pembeni yao ndo wanaondoka hilo eneo naona lile si tako la M[emoji50][emoji50], wanafika kwenye mwanga kumbe niliedhani amelala yupo pembeni yangu na bwana ake tokea nimefika, sikutaka kusogea maana hata kupigana sijui japokua mwamba nilikua nammudu kwa kumuangalia, wakaachana pale,
yule mtoto akawa anarud hostel huku namungalia akatoa sim mfukoni anapiga mara text za nilikua nimelala nakuja sahv, sikupokea simu wala kujibu sms mpaka leo japokua njiani tulikua tunakutana na tunapeana hai za juu juu kila mtu anasepa zake
Matako yake. Me ningemtukana.
 
Manzi angu wa kwanza alikua mlokole saaafi yaani wale walokole wa mapambio kulia na maombi kila muda na alikua muirak na ndio alikua manzi wa kwanza kabisa kumuelewa ile kwei kabisa kabisa
Alituma nudes kwa mwana ambae hamjui waliekutana facebook tu wakahamia whatsApp akamtumia nudes

Time amefahamiana huyo mwamba alikua ananiona mimi kama mbuzi ikafika muda akagundua aliekua anamtumia picha za uchi ni tapeli alikua anataka apate picha ila awe anaomba pesa kwa ajili ya kutokuzisambaza kama ransom hivi

Nilikuja kujua baada ya yeye kurudi kwangu fasta sana na kuanza kuleta mahaba ya motomoto ndo akasema anataka kufuta account ya facebook ila hawezi akaniomba nimfutie ndio kukuta picha ametumiwa na account yeye jina kama la account yake kumbe wana walikua wametengeneza account kama yake na wakaweka picha kama zake Picha aliyotumiwa ilikua imewekewa namba za sim na inasema mimi ni malaya na manzi yuko mtupu,kumuuliza manzi akaanza kubisha mara wameedit sio mimi mara walinipiga nilikua sijui( hapo picha zote anaonekana anaangalia kamera) mwisho akakiri akawa analia kinyama na ulokole wake

Mwisho wa siku nilisovu msala japokua pesa ilinitoka kiaina

Nilikua sijawahi pigwa tukio kali nilihisi kutoa chozi niliishi kwa stress ikabidi nitemane nae tu japokua mpaka leo lazima anicheki anasema mimi ni mume wake na mimi sina taim tena na nawaona hawa madem wanaojiita wameokoka kama malaya na wanafiki tu
Demu wa namna hiyo unamwambia tafuta mwenzako mkali na mzuri uje niwat*mbe threesome kila nikijisikia ndipo tuzungumzie msamaha kama haiwezekani nipotezee.
 
Asilimia kubwa ya wadada wakibongo wana element zakitapeli mtu anakusaidia vzuri tena kwa moyo mzuri wanamuona danga tena mtu ukishamtatulia shida zake anakuona Kama takataka na hivo unaweza shangaa hata hio simu hakudumu nayo kabsa
Halafu huko anapokwenda na komwe lake utadhani starter ya pantoni anaenda kukutana na mwamba anamtia mimba na anamtia pia na makofi na vipigo halafu anamletea mapichapicha kisha unakuta anakwenda sugua magoti makanisani akilia lia kwa MUNGU kwann anapitia magumu kumbe alipata mtu mwenye utu na moyo wa upendo na alikuwa tayari kumtreat vizuri na tayari kumuoa kwa ndoa ya heshima.

PUMBAVU SANA hawa watu wacha wapitie haya magumu wanayopitia.
 
Mwaka 2021 katika harakati za kusaka maisha nilikwenda kijiji flani kinaitwa mlanzi wilaya ya kibiti!kununua mapapai shamba!nimekaa siku tatu nakusanya mzigo siku ya nne nikaona nitafute mtoto wa kindengereko nimtembezee moto,tukaelewana bei na kweli usiku demu akaibuka guest niliyokuwa nimefikia panaitwa kwa bora!demu kufika nikamshawishi anywe hata bia 2!mwanzo akagoma ila mwisho akakubali.
Akanywa safari ya kwanza ikaisha,nikamfungulia ya pili,wakati ipo nusu akaenda chooni,chumba kilikuwa hakina choo ndani,alipoenda chooni nikamchanganyia na k vant bia yake lengo ni azime nijipigie hata vitano usiku ule maana tulikuwa tumekubaliana vitatu.
Sasa aliporudi akanywa mpaka ikaisha,ile naanza romance tu ghafla akabadilika akaanza kutoa misauti ya ajabu ajabu,kumbe demu ana majini,kabla sijajua nifanyaje ghafla akanikamata akaanza kunitia makofi ya uso tena alikua analenga puani!
Ndani ya dk.2 hivi nilichezea mabanzi kama 100,nilitoka nduki kimya kimya!
Sikurudi tena mle room nikaenda kulala ktk gari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaaaa
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

Dah[emoji28][emoji28] nmecheka
 
Wanawake wamikoani wakija mjini wanajifanya watoto wa mjini kumbe washamba sana na walimbukeni sana inaonekana hakuwa kumiliki simu nzuri na wanachanganyikiwa na vitu vidogo vidogo kama Tv, simu , magari yani wakikutana na hivyo vitu wachanganyikiwa. Kama huyo simu tu imemfanya akublock wakati ulimsaidia vitu vingi tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Naunga hoja...
 
Manzi angu wa kwanza alikua mlokole saaafi yaani wale walokole wa mapambio kulia na maombi kila muda na alikua muirak na ndio alikua manzi wa kwanza kabisa kumuelewa ile kwei kabisa kabisa
Alituma nudes kwa mwana ambae hamjui waliekutana facebook tu wakahamia whatsApp akamtumia nudes

Time amefahamiana huyo mwamba alikua ananiona mimi kama mbuzi ikafika muda akagundua aliekua anamtumia picha za uchi ni tapeli alikua anataka apate picha ila awe anaomba pesa kwa ajili ya kutokuzisambaza kama ransom hivi

Nilikuja kujua baada ya yeye kurudi kwangu fasta sana na kuanza kuleta mahaba ya motomoto ndo akasema anataka kufuta account ya facebook ila hawezi akaniomba nimfutie ndio kukuta picha ametumiwa na account yeye jina kama la account yake kumbe wana walikua wametengeneza account kama yake na wakaweka picha kama zake Picha aliyotumiwa ilikua imewekewa namba za sim na inasema mimi ni malaya na manzi yuko mtupu,kumuuliza manzi akaanza kubisha mara wameedit sio mimi mara walinipiga nilikua sijui( hapo picha zote anaonekana anaangalia kamera) mwisho akakiri akawa analia kinyama na ulokole wake

Mwisho wa siku nilisovu msala japokua pesa ilinitoka kiaina

Nilikua sijawahi pigwa tukio kali nilihisi kutoa chozi niliishi kwa stress ikabidi nitemane nae tu japokua mpaka leo lazima anicheki anasema mimi ni mume wake na mimi sina taim tena na nawaona hawa madem wanaojiita wameokoka kama malaya na wanafiki tu
hasa hao wambulu ndo balaa tupu...
 
Yule mpuuzi aliniomba nauli ya goo endi ritani eti anaenda Dar kwenye Send-off ya mtoto wa shangazi yake, nikampa shilingi laki mbili , mbwa yule kumbe ni yeye ndio alikuwa anaenda kuolewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah
 
Hili tukio nilipigwa ni kama Karma;

Kuna manzi alikua mrembo sana, typical chuga girl. Mara nyingi akiongea utasikia maneno kama "huyu chalii anazingua" au "fata mambo yako eroo" na swaga zingine zinazofanana na hizo.

Mzuri kweli kweli ila sasa ukiwa unaongea naye kuna mzuka fulani unapotea kwenye maongezi maana usela wake umezidi mpaka unahisi kama anajifanyisha!

Basi bhana,

Huyu binti tulikua naye course moja wakati ule. Kutokana na nature ya course yetu wanaume walikuwa wengi sana kuzidi wanawake. Na hata hao wanawake wachache waliopo, wengi walikua wagumu kasoro yeye tu ndio alikua mng'ao.

Macho yakawa mengi sana kwake, hadi washikaji zangu wa karibu wakawa wanapambania kombe. Kati yao kuna mmoja alimuelewa sana, ile kumuelewa manzi kiasi cha kuwaza kumuoa kabisa kama akikubali. Na huyo mshikaji alikua room'ate wangu kwaiyo mara nyingi alikua ananiambia anachomuwazia bibie. Na alikua free kwa sababu mimi sikuwahi kuonesha interests yoyote kwa yule binti. So hakuniona kama competitor!

Sasa kwa sababu wapambanaji ni wengi, yule manzi akaanza kuwa na kiburi; ile kuwa na "ego" au "arrogant" kama mnavyosema wasomi! Kwaiyo akawa kama amechoka ku play a "good girl" character kwenye movie ya wahuni maana wakiambiwa vizuri hawaelewi wao ni kukomaa tu. Ikafika hatua ukisogeza pua anakukatia kipande cha maneno mabovu utayachambua mwenyewe mbele ya safari (niligundua hili wakati tunapiga story za hapa na pale na masela huku tukichekana siku zinasonga).

Nilikuja kupangiwa naye group moja la majadiliano baada ya vipindi. Sasa kwa sababu najua hali ilivyo kuhusu yule binti, basi muda wote ambao tulikua karibu, mimi nikawa nakaa kwenye mada husika tu, siendi nje wala sisogei pembeni. Akaamua kunikatia jina fulani tuseme "A Serious Guy". Akahitaji niwe na contacts zake kwa ajili ya updates muhimu, na mimi nikawa nazo!

Shetani ndiye aliyeleta akili za kutengeneza simu ili aondoke hadi na wale wenye aibu ya kutenda dhambi hadharani; kila siku nawambia hizo simu mkae nazo makini hamsikii, shauri yenu!

Mada za mwanzo kwenye simu zilikua on-point lakini mdogo mdogo zikaanza kupinda. Mara movie fulani, mara nyimbo fulani, mara nilikuona maeneo yale, mara nilikuona huku, mara unafanya nini saivi, mara njoo tule, mambo yakaanza kuwa mengi. Nikaanza hadi kujua akiumwa, akimeza dawa, na akipona. Sasa wakati haya yanaendelea jamaa yangu yeye hajui. Ila yeye daily anani update amemnunulia sijui zawadi gani ya birthday ili amshawishi watoke out na mambo mengine kibao, mimi kazi yangu ni kuitikia tu na kumtia moyo one day yes!

Sasa mambo ya kwenye simu yalivyozidi kuchachamaa, na mimi nikaanza kumuwazia anayowaziwa na wengine. Au sio bhana? Kwani kuna ubaya gani na mimi mporipori nikilamba asali? Hapo ameshaanza kunitumia na vi picha vyake vizuri vizuri. Moyo huu usukume damu tu. Nikaanza kukolea na yeye akanizamisha mazima!

Route za kumtembelea kimya kimya mida ya usiku zikaanza. Najificha ficha nisije nikaonekana. Sijui warembo wanakua"ga na shida gani na typical shamba boys, they always got s'thing for them! Kumtembelea kukanoga, nikawa sipati usingizi mzuri nisipomuona usiku hata kama nimeshaonana naye mchana.

U busy wa safari za usiku ulivyozidi, jamaa yangu akaanza kuwa suspicious (kama machale yakaanza kumcheza). Nadhani labda kwa sababu dots zake zilikua haziungi vizuri. Akiniuliza kuhusu manzi (kwa sababu anajua tupo kundi moja) namjibu tu anaendelea poa. Akiniomba nichunguze kama kuna mshikaji yupo na manzi tayari ndio maana yeye anapotezewa nampa tu matumaini kuwa manzi bado hana mtu. Dah, kumbe pale uzi wake unapokatika ndipo uzi wangu unaungia hapo. Penzi ni kama bangi ukivuta tu lazima harufu yake ikuumbue, sikuchukua round, bulalifuu.

Mwamba nimechanga karata zangu vizuri najiamini, najua kila kitu kipo sawa hakuna kusanukiwa wala nini. Mara ghafla nashangaa siku moja na.amshwa ahsubui napewa hongera na room'ate wangu yule. Namuuliza "Ya nini tena?". Kumbe manzi kani post huko facebook kaniita "secret admire". .. aiseeee

Jamaa ananiongelesha huku machozi yanamlenga lenga.

"Mwanangu siku zote tunakaa wote hapa nakueleza mambo yangu kumbe unanizunguka?"

Kastori ni karefu kidogo, ngoja ninywe maji, narudi kumalizia...

njoo umaliziee hukuu
 
Back
Top Bottom