Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Huyu mwanamke ilibidi nimuachie nyumba baada ya kodi kuisha

Nilisalitiwa mara nyingi hadi alibeba mimba ya mchepuko.Tumepigana mara tatu pamoja na kuzushiwa kuwa mm n malaya

Nikazushiwa maneno ya kuzishiwa kama yote .Sasa nimemuachia Mungu tu nimeanza maisha mapya na mpenzi mpya anayejielewa

pole na hongers kwa kusonga mbele
 
Wewe ni fala sana mkuu. Kuna mafala wengi kwenye huu uzi, akiwemo huyo alietoroka jeshini kisa mwanamke, ila naona kama wewe umemfunika kabisa!

Nisamehe kwa lugha kali, wewe ni fala sana.

Kwa mara ya mwisho, wewe ni fala sana brother. Fala mno!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo wa kwanza anafaa kuolewa kabisa. Kajiongeza, akose pesa hata chakula akose pia. Hakuna kugongwa kwa mkopo😀😀😀.

Enzi za utoto nilikuwa na kidemu cha kimanga cha mtaani wenyewe tunadanganyana tutaoana. Kwa vile alikuwa geti kali na mambo ya simu hakuna, mawasiliano mengi tulikuwa tunafanya kupitia kwa binamu yake wa kiume ambae anaishi kwao.
Ilikuwa nikipata vizawadi nampa shemeji binamu apeleke. Na saa nyingine msela anakuja kudai katumwa aje aombe pesa kwangu, na mimi natoa.

Ilikuwa nasoma shule ya bweni. Niliporudi likizo kipindi nipo kidato cha 4 nikasikia demu kaolewa. Ikabidi nimtafute shemeji binamu aniambie vizuri nakuja gundua kumbe ndio mume mwenyewe aliemuoa demu wangu. Walikuwa wanapigana miti ndani mwao humo mpaka kuja kufumwa na kuozeshwa na wazazi wao.
Halafu jamaa lilivyokuwa kauzu linaniambia kama kuna ujumbe au zawadi yeyote niendelee kumpa ampelekee mkewe ambae ni demu wangu.
Na demu ilikuwa nikikutana nae baada ya hapo ananiambia bado mimi ni mpenzi wake. Tuliendelea kupigana miti kwa kuiba iba mpaka walipohamia Zanzibar na mumewe binamu.

Mpaka leo hii demu yeyote akiniambia mambo ya 'cousin' wa jinsia tofauti na uhusiano unaishia hapo hapo.
Demu wa kabila Gani mkuu?
 
Ungebadilisha kichwa cha habari na kuandika "MAMBO GANI YA KIPUMBAVU ULIYOWAHI FANYA KWENYE MAPENZI?"... hakuna tukio ulilopigwa kwenye stori yako bali ni upumbavu mwingi ulikuwa unafanya. BADILIKA

wajuaji wa jamii forum mmeshatia kambi vitu vya miaka hiyo leo unaniambia badilika[emoji855]
 
Mwaka 2021 katika harakati za kusaka maisha nilikwenda kijiji flani kinaitwa mlanzi wilaya ya kibiti!kununua mapapai shamba!nimekaa siku tatu nakusanya mzigo siku ya nne nikaona nitafute mtoto wa kindengereko nimtembezee moto,tukaelewana bei na kweli usiku demu akaibuka guest niliyokuwa nimefikia panaitwa kwa bora!demu kufika nikamshawishi anywe hata bia 2!mwanzo akagoma ila mwisho akakubali.
Akanywa safari ya kwanza ikaisha,nikamfungulia ya pili,wakati ipo nusu akaenda chooni,chumba kilikuwa hakina choo ndani,alipoenda chooni nikamchanganyia na k vant bia yake lengo ni azime nijipigie hata vitano usiku ule maana tulikuwa tumekubaliana vitatu.
Sasa aliporudi akanywa mpaka ikaisha,ile naanza romance tu ghafla akabadilika akaanza kutoa misauti ya ajabu ajabu,kumbe demu ana majini,kabla sijajua nifanyaje ghafla akanikamata akaanza kunitia makofi ya uso tena alikua analenga puani!
Ndani ya dk.2 hivi nilichezea mabanzi kama 100,nilitoka nduki kimya kimya!
Sikurudi tena mle room nikaenda kulala ktk gari
 
visa vingi humu naona ni vyakuibiwa sasa ujanja sahiv nikivusha dem naita mshikaji wangu aje afunge mlango kwa nje na aondoke na funguo had nitakapo mpigia simu
.Sitaki ujinga mimi
Umenikumbusha kuna jamaa alikua akivusha ananiita ananipa funguo ananiambia bro funga kwa nje asubuhi ntakupigia simu uje ufungue hawa watu sio wazuri 😂
 
Mwaka 2021 katika harakati za kusaka maisha nilikwenda kijiji flani kinaitwa mlanzi wilaya ya kibiti!kununua mapapai shamba!nimekaa siku tatu nakusanya mzigo siku ya nne nikaona nitafute mtoto wa kindengereko nimtembezee moto,tukaelewana bei na kweli usiku demu akaibuka guest niliyokuwa nimefikia panaitwa kwa bora!demu kufika nikamshawishi anywe hata bia 2!mwanzo akagoma ila mwisho akakubali.
Akanywa safari ya kwanza ikaisha,nikamfungulia ya pili,wakati ipo nusu akaenda chooni,chumba kilikuwa hakina choo ndani,alipoenda chooni nikamchanganyia na k vant bia yake lengo ni azime nijipigie hata vitano usiku ule maana tulikuwa tumekubaliana vitatu.
Sasa aliporudi akanywa mpaka ikaisha,ile naanza romance tu ghafla akabadilika akaanza kutoa misauti ya ajabu ajabu,kumbe demu ana majini,kabla sijajua nifanyaje ghafla akanikamata akaanza kunitia makofi ya uso tena alikua analenga puani!
Ndani ya dk.2 hivi nilichezea mabanzi kama 100,nilitoka nduki kimya kimya!
Sikurudi tena mle room nikaenda kulala ktk gari

[emoji23][emoji23]
 
Yule mpuuzi aliniomba nauli ya goo endi ritani eti anaenda Dar kwenye Send-off ya mtoto wa shangazi yake, nikampa shilingi laki mbili , mbwa yule kumbe ni yeye ndio alikuwa anaenda kuolewa
😂😂😂 Wanawake pasua kichwa
 
Mwaka 2021 katika harakati za kusaka maisha nilikwenda kijiji flani kinaitwa mlanzi wilaya ya kibiti!kununua mapapai shamba!nimekaa siku tatu nakusanya mzigo siku ya nne nikaona nitafute mtoto wa kindengereko nimtembezee moto,tukaelewana bei na kweli usiku demu akaibuka guest niliyokuwa nimefikia panaitwa kwa bora!demu kufika nikamshawishi anywe hata bia 2!mwanzo akagoma ila mwisho akakubali.
Akanywa safari ya kwanza ikaisha,nikamfungulia ya pili,wakati ipo nusu akaenda chooni,chumba kilikuwa hakina choo ndani,alipoenda chooni nikamchanganyia na k vant bia yake lengo ni azime nijipigie hata vitano usiku ule maana tulikuwa tumekubaliana vitatu.
Sasa aliporudi akanywa mpaka ikaisha,ile naanza romance tu ghafla akabadilika akaanza kutoa misauti ya ajabu ajabu,kumbe demu ana majini,kabla sijajua nifanyaje ghafla akanikamata akaanza kunitia makofi ya uso tena alikua analenga puani!
Ndani ya dk.2 hivi nilichezea mabanzi kama 100,nilitoka nduki kimya kimya!
Sikurudi tena mle room nikaenda kulala ktk gari
Nimecheka sanaaaa

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka kifala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
😅😅😅😅😅 Noma sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante kwa kicheko hiki aisee nyie wanaume mnakutana na mengi
 
Back
Top Bottom