Alinambia anatoka chuo sa 12 anaenda hostel kulala ataamka saa moja kasoro, tukakubaliana huo muda ntaenda kumchukua tukale then aje kulala geto.
muda ulipokaribia nikafika nyuma ya hostel zao kuna kama ukuta upo nusu couple zimesimama kwenye kigiza as usual maana zile ni hostel za madem wahuni wapo kazini, napiga simu haipokelewi sms hazijibiwi nikajipa moyo huyu atakua amelala, saa mbili ikakatika sim hazijibiwi, saa tatu ikafika naona kuna couple niliikuta nikawapita nikaenda kukaa pembeni yao ndo wanaondoka hilo eneo naona lile si tako la M[emoji50][emoji50], wanafika kwenye mwanga kumbe niliedhani amelala yupo pembeni yangu na bwana ake tokea nimefika, sikutaka kusogea maana hata kupigana sijui japokua mwamba nilikua nammudu kwa kumuangalia, wakaachana pale,
yule mtoto akawa anarud hostel huku namungalia akatoa sim mfukoni anapiga mara text za nilikua nimelala nakuja sahv, sikupokea simu wala kujibu sms mpaka leo japokua njiani tulikua tunakutana na tunapeana hai za juu juu kila mtu anasepa zake