Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Aliniambia ana mimba ya jamaa mwingine nikakubali ila akawa hataki tuonane nikabembeleza sana lakini ikashindikana kukutana(sikuwa namanisha) Hii ilichangiwa pia na ubusy wangu, free time ilikua kuanzia saa 5 usiku, ikapita miezi 6 akawa na uhitaji wa hela, nikajisemea yes hatimae amekuja napopataka. Akawa anasema nimtumie au anatuma boda aje aichukue nikamkatalia, kauli yangu ilikua ni aje achukue mwenyewe kama haiwezekani basi! Akalalama mwisho wa siku akaniambia ukirudi nijulishe.

Nimerudi nikamjulisha, akaja kweli kumcheki kitumbo kipo kipo, katika 1 na 2 nikamshika uno, akaanza kusema ni vibaya kufanya na hali yake, nikamjaza maneno matam hao tukafanya yetu, katikati ya mchezo naona mara kitumbo kinajaa na kupungua(alishindwa kuhimili hilo nikamwambia aache kujaza kitumbo asijejinyea bure), nikamwambia asante kwa kuniongopea na hela mimi sina(niliongea tu hela nilishasema nampa na vijizawadi vingine nilimpa tu alivyofika). Tukalala akiwa amenuna sana, sikujali.

Kumekucha sioni mtu ameshaondoka, kucheki vizuri sioni pasi, frampeni na jagi la kuchemshia maji.
Nimekutana nae mwaka jana alikiri kuvichukua, tukapasha kiporo now ni rafiki wa faida.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila we mwamba mkavu sana
 
Alinambia anatoka chuo sa 12 anaenda hostel kulala ataamka saa moja kasoro, tukakubaliana huo muda ntaenda kumchukua tukale then aje kulala geto.

muda ulipokaribia nikafika nyuma ya hostel zao kuna kama ukuta upo nusu couple zimesimama kwenye kigiza as usual maana zile ni hostel za madem wahuni wapo kazini, napiga simu haipokelewi sms hazijibiwi nikajipa moyo huyu atakua amelala, saa mbili ikakatika sim hazijibiwi, saa tatu ikafika naona kuna couple niliikuta nikawapita nikaenda kukaa pembeni yao ndo wanaondoka hilo eneo naona lile si tako la M😮😮, wanafika kwenye mwanga kumbe niliedhani amelala yupo pembeni yangu na bwana ake tokea nimefika, sikutaka kusogea maana hata kupigana sijui japokua mwamba nilikua nammudu kwa kumuangalia, wakaachana pale,
yule mtoto akawa anarud hostel huku namungalia akatoa sim mfukoni anapiga mara text za nilikua nimelala nakuja sahv, sikupokea simu wala kujibu sms mpaka leo japokua njiani tulikua tunakutana na tunapeana hai za juu juu kila mtu anasepa zake
Pole mkuu japo story yako inachekesha
 
1. Mimi miaka kadhaa nyuma kuna dem nilimuahidi akija geto nitampa 20k siakajichanganya akaja geto nikala mzigo fresh baade kataka ile hela nikamwambia sina nitakupa siku nyingine basi tukalala ile naamka asubuhi demu hayupo nikagundua kumbe kaondoka na kisado cha dagaa nyama nilihis ganz mwil mzima.

2.Hii iliniuma sana mwaka 2018 nilipata toto flan hiv la kimbulu full msambwanda sinikajichanganya nikataka kabisa kumtia mimba na akahitaj nikamtambulishe mpk nikaanza kuwaletea nyodo madem zangu wawili kwakujiona nimepata kifaa ndani ya miezi miwil nikaja kugundua huyu dem wa kimbulu kumbe ni dem wa mtu tena mbavu nene kwahy leo yupo kwangu kesho kwa jamaa aseh niliishiwa pozi siku tunakutana na jamaa tukajuana tunakula sehem moja,ila mwisho wa siku dem ndio alimkana jamaa tukiwa wote watatu ila mm sikueza tena kuwa serious kwa dem hii kitu iliniuma sana badae huyu manz akadai ana mimba hapo ndio kimbembe kilipotokea[emoji23]

3.Hii ndio mpk leo siwezi kusahau mwaka 2016 napigiwa cm na mzee wangu sa12 alfajir kuwa natakiwa niripot kambini makutupora dodoma huku nyuma nina dem wang anamimba ya miez 5 nikajianda nikadandia bus mpk dom.Nikafika kambin lkn huku akili yangu ipo kwa dem niliemtia mimba kufupisha nikatoroka kambin nikarud mkoani usiku wa manane matokeo yake kwao walivyogundua binti yao mjamzito alaf anatakiwa aende chuo wakaichomoa mimba hii kitu iliniuma sana na mapenz yakaisha hapo hapo japo niliendelea kumla mpk nilipokuja kumuacha 2019 baad ya kuamua kumuambia ukwel kuwa sina mapenz nae(huenda leo ningekuw soja *****[emoji22])

Je ww ulishawah kupambana na mkasa upi uliokugusa katika mapenz?
Huyu mwanamke ilibidi nimuachie nyumba baada ya kodi kuisha

Nilisalitiwa mara nyingi hadi alibeba mimba ya mchepuko.Tumepigana mara tatu pamoja na kuzushiwa kuwa mm n malaya

Nikazushiwa maneno ya kuzishiwa kama yote .Sasa nimemuachia Mungu tu nimeanza maisha mapya na mpenzi mpya anayejielewa
 
Nilikopa pesa Benki ili nimpe aongezee kwenye biashara yake lakini mwisho wa siku hata miezi mitatu haikupita tukaachana na million 3 zilienda na maji ya katerero
Wewe ni fala sana mkuu. Kuna mafala wengi kwenye huu uzi, akiwemo huyo alietoroka jeshini kisa mwanamke, ila naona kama wewe umemfunika kabisa!

Nisamehe kwa lugha kali, wewe ni fala sana.

Kwa mara ya mwisho, wewe ni fala sana brother. Fala mno!
 
Manzi angu wa kwanza alikua mlokole saaafi yaani wale walokole wa mapambio kulia na maombi kila muda na alikua muirak na ndio alikua manzi wa kwanza kabisa kumuelewa ile kwei kabisa kabisa
Alituma nudes kwa mwana ambae hamjui waliekutana facebook tu wakahamia whatsApp akamtumia nudes

Time amefahamiana huyo mwamba alikua ananiona mimi kama mbuzi ikafika muda akagundua aliekua anamtumia picha za uchi ni tapeli alikua anataka apate picha ila awe anaomba pesa kwa ajili ya kutokuzisambaza kama ransom hivi

Nilikuja kujua baada ya yeye kurudi kwangu fasta sana na kuanza kuleta mahaba ya motomoto ndo akasema anataka kufuta account ya facebook ila hawezi akaniomba nimfutie ndio kukuta picha ametumiwa na account yeye jina kama la account yake kumbe wana walikua wametengeneza account kama yake na wakaweka picha kama zake Picha aliyotumiwa ilikua imewekewa namba za sim na inasema mimi ni malaya na manzi yuko mtupu,kumuuliza manzi akaanza kubisha mara wameedit sio mimi mara walinipiga nilikua sijui( hapo picha zote anaonekana anaangalia kamera) mwisho akakiri akawa analia kinyama na ulokole wake

Mwisho wa siku nilisovu msala japokua pesa ilinitoka kiaina

Nilikua sijawahi pigwa tukio kali nilihisi kutoa chozi niliishi kwa stress ikabidi nitemane nae tu japokua mpaka leo lazima anicheki anasema mimi ni mume wake na mimi sina taim tena na nawaona hawa madem wanaojiita wameokoka kama malaya na wanafiki tu
 
Wakati nipo O level nilikuaga na jamaa nili fall in love kinyamaaa kwa kifupi nilizama haswaaah.

Siku ya kuachwaa naambiwa "nilikua na wee kwa hisani tyuuh na leo hisani yangu imeisha." Woiiiiiiiiiih nilihisi dege dege LA ukubwani limenipandaa, chizi sio chizi, mwendawazimu sio kichaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku tunakutana anasema "nakuona mtoto umazidi kushynee tyuuh" nkamjibu "ndyooo nimempata wa kunisitiri sahv hisani si uliondoka nayo wee"

Now kaanza usumbufu wa kujisogeza kwan, na venye hata mshipa wa nyegee cnaga nae tenaa.

Huyuu jamaa alijua kuninyoosha khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati nipo O level nilikuaga na jamaa nili fall in love kinyamaaa kwa kifupi nilizama haswaaah.

Siku ya kuachwaa naambiwa "nilikua na wee kwa hisani tyuuh na leo hisani yangu imeisha." Woiiiiiiiiiih nilihisi dege dege LA ukubwani limenipandaa, chizi sio chizi, mwendawazimu sio kichaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku tunakutana anasema "nakuona mtoto umazidi kushynee tyuuh" nkamjibu "ndyooo nimempata wa kunisitiri sahv hisani si uliondoka nayo wee"

Now kaanza usumbufu wa kujisogeza kwan, na venye hata mshipa wa nyegee cnaga nae tenaa.

Huyuu jamaa alijua kuninyoosha khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hisani ya watu wa marekani [emoji23]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom