Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Duh! Hii hatarii!
 
Namba 1 ulitendewa hata.
 
Aliniambia ana mimba ya jamaa mwingine nikakubali ila akawa hataki tuonane nikabembeleza sana lakini ikashindikana kukutana(sikuwa namanisha) Hii ilichangiwa pia na ubusy wangu, free time ilikua kuanzia saa 5 usiku, ikapita miezi 6 akawa na uhitaji wa hela, nikajisemea yes hatimae amekuja napopataka. Akawa anasema nimtumie au anatuma boda aje aichukue nikamkatalia, kauli yangu ilikua ni aje achukue mwenyewe kama haiwezekani basi! Akalalama mwisho wa siku akaniambia ukirudi nijulishe.

Nimerudi nikamjulisha, akaja kweli kumcheki kitumbo kipo kipo, katika 1 na 2 nikamshika uno, akaanza kusema ni vibaya kufanya na hali yake, nikamjaza maneno matam hao tukafanya yetu, katikati ya mchezo naona mara kitumbo kinajaa na kupungua(alishindwa kuhimili hilo nikamwambia aache kujaza kitumbo asijejinyea bure), nikamwambia asante kwa kuniongopea na hela mimi sina(niliongea tu hela nilishasema nampa na vijizawadi vingine nilimpa tu alivyofika). Tukalala akiwa amenuna sana, sikujali.

Kumekucha sioni mtu ameshaondoka, kucheki vizuri sioni pasi, frampeni na jagi la kuchemshia maji.
Nimekutana nae mwaka jana alikiri kuvichukua, tukapasha kiporo now ni rafiki wa faida.
 
Mwaka 2007 mitaa ya Tomondo, Unguja nimetulia ghetto nikamuita Mamu mtoto wa Pwani aje nimshungulikie, ilikua mwezi wa ramadhani nikamwambia ntamla usiku baada ya kuftari. Mamu alifika usiku ghetto nikamvua chupi nikala papa safi saa 11 alfajiri nikaoga nikala daku nikalala kulivyo kucha Mam akaomba shuka zangu za 8/8 akafue nikaona mwana nimepata wife material. Toka alivyotokomea nayo mpaka leo sijawahi kuyaona tena mashuka yangu makali ya mtumba.. Mwingine dent wa Chuo Cha Mwalimu Nyerere nilianza naye kitambo Tabora tukaja kukutana Dar nikamribisha Ghetto nikala papa nikaenda kazini kurudi nakuta kapita na jagi la kuchemshia maji.. dah Wanawake wezi sana
 

[emoji23]
 

[emoji23]
 
Hii Kali.
 
Hahahaha
 
Hii ilimtokea msela sio mimi.

Kipindi mbaazi zikiwa juu msela aliuza akashika kama mia 8 hivi akashuka dar kwenye geto la msela wake

Akanunua Samsung a5 kipindi hicho zinatamba, akabaki kama na mia 4 hivi.

Sasa msela akakumbuka kuna dem wake wa zamani yupoge dar akamcheki hewani dem akaibuka geto kwa msela,

Yule dem akasepa na simu, begi lenye laki 4 na mazaga mengine

Jamaa alilia kama mtoto, tulimtafuta dem mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…