Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu inauma sana japo tunajifariji humu eti kuchapiwa kawaida, hamna ukawaida wowote tunajikaza tu kisabuni(simaanishi mambo yale ya sabuni haha)
kuchapiwa kunauma sana kunauma hatari yani ukikumbuka unahisi kama upanga wa moto unapenyezwa moyo, unajikaza tu maana maisha inabidi yaendelee.
1. Umewahi kusalitiwa na mpenzi wako, ilikuaje?
2. Unaweza kumwamini tena mpenziwako uliemfumania?
3. Bila kujali mmeachana au mmerudiana, jeraha la kusalitiwa limepona au bado unaugulia kwa ndani?
"Is it better to have had a good thing(or person) and lost it, or never to have had it?
- Our Mutual Friend, Charles Dickens
Cc: Mapenzi