Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

Nishasaliti na kusalitiwa sana tu na tunaendelea kama kawaida, sometimes wote tunajua tunasalitiana tunazinguana ila zilipanda ni simu moja tu.
#Hayo ni ya chuoni.

Mtaani sasa, kuna dem aliniongoza mwenyewe (mrangi) nikamuuliza vp kuhusu jamaa (mpenz wake, nlikuwa namfaham) akasema washaachana nikasema fresh tu, tumedate kama miezi miwili siku moja nikamchek na msela mwingine tofauti na yule ex wake nikakausha, siku nyingine namchek anatoka kwenye getto la ex wake kumuuliza alinijibu kihuni tu 'Najua huna mpango wa kunioa ila I like the way you are (ila napenda jinsi ulivyo) nilichofanya ni kuongeza pakti za dume ghetto tu.
kwako anafata moto tu mpelekee mwingi zaidi mpaka akimbilie fire extinguisher
 
Nishasaliti na kusalitiwa sana tu na tunaendelea kama kawaida, sometimes wote tunajua tunasalitiana tunazinguana ila zilipanda ni simu moja tu.
#Hayo ni ya chuoni.

Mtaani sasa, kuna dem aliniongoza mwenyewe (mrangi) nikamuuliza vp kuhusu jamaa (mpenz wake, nlikuwa namfaham) akasema washaachana nikasema fresh tu, tumedate kama miezi miwili siku moja nikamchek na msela mwingine tofauti na yule ex wake nikakausha, siku nyingine namchek anatoka kwenye getto la ex wake kumuuliza alinijibu kihuni tu 'Najua huna mpango wa kunioa ila I like the way you are (ila napenda jinsi ulivyo) nilichofanya ni kuongeza pakti za dume ghetto tu.
Mademu ambao wapo direct nam a hiyo nawapenda sana. Sio kila kugegeduana kulead into marriage. Sometimes its just having fun nothing serious
 
Kila mtu ana namna anavofeel kujua amempenda au lah wanaume Huwa mnatamni kwanza mnakuja kupenda badae muda unavokwenda
But mm kujua mtu nampenda ninavojisikia nikiwa nae,Huwa najali sana na kumuwaza sana hapo najuaga nimekwama
Namuwaza kila time pia lakini nikishampigia naboeka kuongea nae hamu inakata, nahisi kama simpendi namtamani, kwa jinsi alivyo pisi nahofia usaliti kuchapiwa kuko nje nje
 
Dub hatari....so huyo mtoto umwpima dna isje kuwa ni bao la mwanaume mwenzio
mtoto niwangu na tunafanana sana ni wakike,
ila tulihitrafiana baada ya kuona hizo SMS zilileta mno utata mpaka kwa wazazi wake ilikuwa shida tukahitrafiana nilikuwa natuma pesa kwaajili ya mtoto baadae akauliza naenda kumchukua lini kwao kilimanjaro,na wazazi wake walitaka mimi niende ila nilitingwa na majukumu pia kwa wakati huo uchumi wangu haukuwa mzuri nikamwambia wewe si wazazi wako wamekuzuia ongea nao wakikuruhusu njoo ila mimi siwezi kuja kukuchukua kwa sababu uliondoka mwenyewe nyumbani.
 
Dub hatari....so huyo mtoto umwpima dna isje kuwa ni bao la mwanaume mwenzio
mtoto ni wangu na tunafanana mno ni wakike,
iliniumiza sana
tulivyoachana alienda kwa kaka yake ila alikataa kata kata kuwa ni rafiki yake tu hakuna chochote akataka mpaka anipeleke kwa huyu jamaa kuthibitisha mimi nilikataa, baada ya kuona mimi nipo kimya akaenda arusha kwa dada yake baadae aliomba msamaha nilikuwa nampenda sana na hilo alilijua,nilimsamehe ila wazazi wake walitaka nikamchukue kwao kwasababu mimi process zote kujitambulisha ilikuwa kwa kaka yake,
wazazi wake walitaka niende wanione pia ila mimi niliwaambia nitakuja mwezi wa kumi na mbili yeye akafoce nikamwambia kama ni pesa ya nauli nakutumia nikamtumia japo financial sikuwa vizuri nikamwambia nakutumia nauli uje dar
ila wazazi wakataka niende nikamwambia kama hautokuja kwa kigezo cha wazazi basi siku wakikuruhusu poa sababu mimi sikukufukuza uliondoka mwenyewe.
 
dah usaliti unaleta kasheshe sana ona hadi akakimbilia kwenda kwao mtoto anakosa malezi ya pandezote
 
hii kitu nimeshindwa kuisahau kabisa baada ya mimi Kukataa kwenda kumchukua alitangazia watu kuwa nimekataa mtoto,
pia ulisema bisahau kuwa nimezaa nae sababu nilimkataa mtoto,
hii kitu inaniuma mno
 
Back
Top Bottom