Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

Mimi Kuna demu wangu tumeachana juzi,. Nilimkuta na mshikaji wangu jioni anamsindikiza dukani sijui Kama alikula Ila nilihakikisha naaribu kote na tumemkosa wote Bora tu
[emoji1787][emoji1787]ubaya ubwela kusindikwa apo ashatembezewa
 
[emoji1787]kumbe wote tunapewa hizihizi
Matapeli wakubwa, halafu wewe sasa unachowapa, utamu, pesa ya kusuka kila week, kodi ya pango, mavazi,gesi,bando-kila siku 2000/=,...hapo mama hajaumwa, mjomba hajameza shoka kijijini kwao, chipsi sijaweka hapo
 
[emoji3]kwamba kameza shoka, kwa hali hii ndio maana wanaume tunaishi miaka michache
 
miaka hyo ya 2011 chuo fulan nilikuwa na manzi mmoja kutoka ufipan, alikuwa n mzuri yule dem sana, siku moja simu yake iliharibika akanletea nimpeleke kwa fundi mimi tena sterring wa kihindi chap bila shida,..sasa jion naipekua pekua nakuta conversation na jamaa aliyewai ntambulisha ni binamu yake, mixer kumwambia yule mwamba "nivumilie baby huyu namuacha mda si mrefu"
 
duh noma sana watu mnapigwa matukio tena kisilence mwendo wa kunyatia
 
Alikuwa anafurahia kusumbuliwa na wanume wengi Wala hakujali Imani yangu kwake na vikauli vyake "Nedde me napendwa na nikipendwa siachiki " "Ningewakubalia ningekua nao wengi ila nimekukubalia wewe "
Aaah kumanyoko.
Alidhani me gong'ole.

Niliiona hatari mapemaa nikaamsha kimya kimya.
 
Tareek manzi akishaleta kauli za kishamba kama hizo huwa nachora mapema yanini kujipa mastress
 
Back
Top Bottom